Ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini?

Collins_Sommy

Member
Jul 7, 2019
14
38
Habari za muda huu,
Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini.
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus kilichopo bibi titi road posta jijini Dar es salaam, wamekua na utaratibu wa kushtukiza na kupandisha ada muda mchache kabla ya vyuo kufunguliwa.. Je ni sheria au taratibu upi unaowapa jeuri hii bila kuwajulisha wanachuo mapema.?
Mwaka huu wa masomo 2023/2024 kumekua na ongezeko la ada la Tsh, 275,000/= na hakuna sababu yoyote iliyotajwa kupelekea ongezeko hilo.
Naombeni kufahamishwa zaidi kuhusu taratibu hizi
 
Back
Top Bottom