ada

1. Malipo ya Elimu (School/Tuition Fees)​

Hili ndilo matumizi makubwa na maarufu zaidi ya neno hili nchini Tanzania. "Ada" inamaanisha kiasi cha pesa ambacho mzazi, mlezi, au mwanafunzi anapaswa kulipa shuleni au chuoni ili kupata huduma ya elimu.
  • Mifano: Ada ya shule (School fees), Ada ya chuo (Tuition fees), Ada ya muhula (Semester fees).
  • Matumizi ya mitaani: Ukisikia Mtanzania anasema "Natafuta pesa ya ada," anamaanisha anatafuta pesa kwa ajili ya kulipia shule.

2. Malipo ya Huduma au Uanachama (Service/Membership Fees)​

Ada pia inatumika kumaanisha malipo yanayofanywa mara kwa mara (kwa mwezi, mwaka, n.k.) ili kupata huduma fulani, kibali, au kuwa mwanachama wa klabu/chama.
  • Mifano: Ada ya usajili (Registration fee), Ada ya uanachama (Membership fee), Ada ya leseni (License fee).
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti kuu, 2023-2024: Mapendekezo ya kufutwa kwa ada kwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaopangiwa vyuo vya kati

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchema amesema bajeti inapendekeza kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi wanaopangiwa vyuo vya kati na Serikali wakimaliza kidato cha nne, vyuo hivyo ni, DIT, MUST na AITC. Waziri wa fedha amesema serikali imefikia uamuzi huo ili kuzalisha wataalamu wengi wa fani...
  2. blogger

    JamiiForums Tanzania Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

    Ina tija gani? Halafu ili iwe nini? Na kwanini? Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA? Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kuwazawadia Sh. Milioni 15.4 ya Ada ya Shule wateja kupitia Akaunti ya Junior Jumbo

    Meneja Mwandamizi wa Mauzo Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Timiza Ndoto yake na Junior Jumbo” yenye lengo la kutoa elimu ya fedha kwa watoto na kuwahamasisha wazazi/ walezi juu ya umuhimu wa kuwawekea watoto wao akiba ambapo...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania "Matajiri" wa ada estate na maskini wa kinondoni shamba"

    In 1888, in Chicago United States of Ameerica A bridge was built to connect two parts of the city. A toll was charged but officials wanted it to be a "progressive" tax. Rich people will pay more to cross. So how could they identify rich and poor quickly? They had an idea, rich people wear...
  5. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

    Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT). Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vyuo vinavyotoa courses za certificates Kwa ada nafuu

    Wakuu nisaidieni hili
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kabla haujakopa milioni nne kwaajili ya Ada ya mwanao, tuliosoma Cuba tuna ujumbe wako hapa

    Kwema Wakuu! Leo sina mbambamba, short and clear sitaki kuchosha nguvu kazi ya taifa nisijeitwa mhujumu uchumi. Siku hizi wala usijitese kusomesha Watoto wako. Somesha Kwa ku-relax kulingana na uwezo wako. Sio uingie madeni kisa kusomesha. Huo ni ushamba na matumizi Mabaya ya Pesa na Akili...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza bajeti ya elimu bila ada kwa asilimia 15

    Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa unaomalizika wa 2022/23. Hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023 /24...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Gumzo shule nzima baada ya kutumia hela ya ada

    Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne. Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
  10. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kulipa ada ya kozi ya online

    Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha ESAMI kina ada kubwa sana?

    Wakuu naomba kufahamu sababu zinazofanya chuo tajwa kuwa na ada Kubwa namna hiyo? Ada pekee kwa Masters program inatozwa 16 milioni.
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kufungua biashara iliyo nje ya taaluma yako, ni upotevu wa ada kwa yule aliyekusomesha

    Wengi tunaamini kuwa, tunachokisoma mashuleni na vyuoni, ndivyo tunavyoenda kuviishi huko mtaani. Tunategemea mtu aliyesoma fani kama udaktari wa kutibu, uhandisi, uanasheria, uhasibu, ugavi, masoko n.k aende akaishi kile alichokisomea, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri. Changamoto iliyopo...
  13. SaulGoodman

    JamiiForums Tanzania Mungu akitaka kukufundisha jambo hakudai ada

    Habari za wakati huu, naomba ku declare interest kua muhusika mkuu wa kisa hiki sio Mimi lakini baada ya kusimuliwa nimeona ipo haja ya ku share na wewe tiririka nayo. Mwaka 2016 nikiwa nimetoka mzigoni baada ya kuunganisha night mbili na day moja (hii ni ratiba ya kawaida kabisa kwa intern...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani kisa ada

    Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi. Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada? Kazi ipo.
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu huu sio mwezi wa kuhonga ni mwezi wa kujiandaa na ada za watoto

    Naihusia nafsi yangu na ya wanaume wenzangu mwezi huu na January sio ya kuhonga kwà vimada na madanga yasiyo na shukrani ni mwezi wa kuandaa ada ya watoto. Kwà mlio wabishi mtakuja kunikumbuka!! Nimekaa pale kama umbwa!
  16. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania TIGOPESA kwenda benki ada zenu sio rafiki

    TIGOPESA mnazingua sana kwenye ada zenu za kuamisha PESA kwenda BENK KAMA NMB. Yaani ada mnayokata hapo sio rafiki kabisa, na sitegemei kama kuna wateja wanayotumia hii njia na kama wapo basi labda hamuelewi na kama mnaelewa basi wenda huduma za benk zipo mbali na eneo hilo. Kwanini na sema...
  17. Rammyq

    JamiiForums Tanzania Law school of Tanzania yapandisha ada na gharama nyingine, kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=

    Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja. Maswali ya kujiuliza; ~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni...
  18. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Agriculture Development Agency (ADA)

    Hakuna ubishi kwamba fursa za kilimo Tanzania ni kubwa na soko la bidhaa za kilimo duniani ni kubwa na la uhakika na pia halina dalili za kufifia kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu. Hata hivyo soko la bidhaa za kilimo duniani linahitaji vitu vitatu. 1. Bidhaa zenye ubora na (Quality...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakubali wanafunzi 28,000 waliokosa mikopo waendelee na masomo vyuoni wakati ikikamilisha masuala ya ada zao

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023, waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu wakati taratibu muhimu zikikamilishwa. Kauli ya Rais Samia...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    Wanafunzi wadaiwa kuingilia mfumo, waghushi malipo ada Kwa kufanya hivyo, wanafunzi hao wanaonekana hawadaiwi, hivyo kukikosesha chuo mamilioni ya shilingi. Pia wanadaiwa kughushi stakabadhi za malipo na mihuri ya benki ili kujiridhisha kuwa hawadaiwi ada. Uchunguzi wa kina ambao umefanywa na...
Back
Top Bottom