ada

1. Malipo ya Elimu (School/Tuition Fees)​

Hili ndilo matumizi makubwa na maarufu zaidi ya neno hili nchini Tanzania. "Ada" inamaanisha kiasi cha pesa ambacho mzazi, mlezi, au mwanafunzi anapaswa kulipa shuleni au chuoni ili kupata huduma ya elimu.
  • Mifano: Ada ya shule (School fees), Ada ya chuo (Tuition fees), Ada ya muhula (Semester fees).
  • Matumizi ya mitaani: Ukisikia Mtanzania anasema "Natafuta pesa ya ada," anamaanisha anatafuta pesa kwa ajili ya kulipia shule.

2. Malipo ya Huduma au Uanachama (Service/Membership Fees)​

Ada pia inatumika kumaanisha malipo yanayofanywa mara kwa mara (kwa mwezi, mwaka, n.k.) ili kupata huduma fulani, kibali, au kuwa mwanachama wa klabu/chama.
  • Mifano: Ada ya usajili (Registration fee), Ada ya uanachama (Membership fee), Ada ya leseni (License fee).
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Weka taarifa za ada na ubora wa shule hapa ili kusaidia wazazi kufanya uamuzi sahihi

    Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level. Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango. Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ada za Vyuo/shule, Chakula kupanda maradufu!

    Tozo na bei mpya ya mafuta itapandisha kila kitu zikiwemo stationeries, ada. Punde tutaongea lugha moja!
  3. richgwami

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa ulipaji ada shuleni

    Habari wana JamiiForums... Naomba maoni na ufafanuzi kwa wale wenye kufaham hili swala ada za shule. Namaanisha hivi mtoto anapokuwa shule mzazi analipa ada kwa awamu au installment sasa inapotokea mzazi amechelewa kulipa ada mara nyingi tunaona mtoto anarudishwa nyumban. Lakin kwa fikra zangu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ada za shule zapanda sanjari na za kubrashia viatu barabarani

    Wapi pa kukimbilia? Mafuta yameathiri kila mtu. Kwa serikali hii? Kazi kwake mlaji wa mwisho!
  5. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Nilikula hela ya ada form 3 nikatumia njia hii mpaka wazazi na walimu hawakugundua kama nimetafuna

    Habari wakuu! Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Shibuda: Magufuli aliniahidi kunipa mil 5 nikalipe ada ya watoto lkn nilipompinga akanigeuka

    Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu. Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka...
  7. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ada za Shule ya ST Mary's, Uleta na ST Mary Goleth

    Habari wana jf. Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023. Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi mbili za St. Mary's ile ya ULETE IRINGA na MARY GOLETH YA MOSHI Ahsanteni
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waonesha umoja, wamchangia mtoto wa Lingwenya ada na pesa ya vifaa vya shule

    @bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho kama ada tukutane Mahakamani

    Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai. Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania," kesho. Ikumbukwe mheshimiwa Jaji Tiganga ikimpendeza, analo angalizo letu la wazi...
  10. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano kuondoka ada Ili mzazi ale keki ipi ya nchi hii

    Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure. Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakopeshe wanachuo pesa za ada, hizo Ada vyuo ndio vinazitegemea kujiendesha

    Kwanza nishukuru Serikali kwa kuongeza mzunguko wa pesa mikoa mbalimbali kwa kuwakopesha wanafunzi pesa za chakula na malazi kwenye vyuo vilivyoko nchi nzima. Pesa hizo wakizipata watazitumia huko wanakoenda kwa kulipia malazi, chakula nk hivyo kuongeza mzunguko wa pesa eneo husika kwa hela...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaenguliwa Mchezo wa Volleyball kwa kushindwa kutoa ada ya Dola 1,000

    10 September 2021 Kigali, Rwanda Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball. Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aucho ana Kesi na Klabu yake Uarabuni, Djuma hajamaliziwa Pesa na Mayele Klabu yake Congo DR haijamaliziwa Ada yake

    Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu? Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu...
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ni sawa wanafunzi kusimamishwa masomo kwa kutolipa ada?

    Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)? Mfano: Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  16. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

    Wanadamu wachokozi, wazandiki na makuhani tena wanahiyana una kifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi. Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Ada ya vyuo vya kati ni bei gani?

    Habarini ndugu, Jamaa na marafiki, naombeni kuuliza ada za vyuo vya kati kwa stashahada ya ualimu wa sekondari ni kiasi gani? (vyuo vya serikali)
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
Back
Top Bottom