ada

1. Malipo ya Elimu (School/Tuition Fees)​

Hili ndilo matumizi makubwa na maarufu zaidi ya neno hili nchini Tanzania. "Ada" inamaanisha kiasi cha pesa ambacho mzazi, mlezi, au mwanafunzi anapaswa kulipa shuleni au chuoni ili kupata huduma ya elimu.
  • Mifano: Ada ya shule (School fees), Ada ya chuo (Tuition fees), Ada ya muhula (Semester fees).
  • Matumizi ya mitaani: Ukisikia Mtanzania anasema "Natafuta pesa ya ada," anamaanisha anatafuta pesa kwa ajili ya kulipia shule.

2. Malipo ya Huduma au Uanachama (Service/Membership Fees)​

Ada pia inatumika kumaanisha malipo yanayofanywa mara kwa mara (kwa mwezi, mwaka, n.k.) ili kupata huduma fulani, kibali, au kuwa mwanachama wa klabu/chama.
  • Mifano: Ada ya usajili (Registration fee), Ada ya uanachama (Membership fee), Ada ya leseni (License fee).
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ada na gharama za kumsomesha mtoto English medium kwa miaka 4 ni milioni 10. Atachoambulia huko unakipata kwa Ras Simba kwa mwezi mmoja tu kwa laki 2

    Ada tuweke 1.5 m Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum. Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4 hamna hamna milioni 20 inakwenda. Form one mpaka form four nimesoma shule ambayo kulikuwa na wanafunzi...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Makamanda Endeleeni Kutoa Ada za Uanachama

    Tuko hapa Machame, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na hivi, ndivyo tunavyozitumia pesa za kikoba cha mjomba. Asitokee mtu wa kutaka kukipora kikoba chetu, labda akaanzishe chakwake. Makamanda piiiipoooz (kwa sauti ya mjomba)
  3. Logikos

    JamiiForums Tanzania Vioja vya Trump:Atishia kujaribu na kurejesha udhibiti wa Mfereji wa Panama, Iwapo hawatapunguza Ada

    Rais mteule Donald Trump ameitaka Panama kupunguza ada kwenye Mfereji wa Panama au irejeshe kwa udhibiti wa Marekani, akiishutumu nchi hiyo ya Amerika ya kati kwa kutoza "bei kubwa" kwa meli na meli za Marekani. "Ada zinazotozwa na Panama ni za kijinga, na sio za haki," aliuambia umati wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yajitosa kwa Lameck Lawi, Coastal Union yataka Milioni 250 ada ya uhamisho

    Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga. Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tumekuwa na hofu, kwa fremu za chini ya ardhi, kikosi maalum kifanye ukaguzi wa majengo yote kko, kwa Ada ya 2.5ml,kwa kila jengo!

    Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe yataka Whatsap Admins kupata leseni na kulipa ada ya laki moja ili kuendesha magroup ya Whatsap

    Wakuu, Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ). kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shida ya maji yaanza tena kama ilivyo ada katika miezi hii ya September, October na November

    Kama ilivyo kawaida, inapofika miezi ya 9, 10 na 11 Shida ya maji huwa kubwa katika jiji la Dar es salaam. Cha ajabu jili jambo lipo kwa miaka nenda rudi, lakini Serikali hii dhaifu ya CCM, isiyojielewa, iliyoshindwa kusolve ishu za msingi kama maji halafu inadhani bado ina legitimacy mbele ya...
  9. Memtata

    JamiiForums Tanzania NMB, hesabu zenu za mkopo sijazielewa

    Mwezi uliopita nilipata shida ya pesa nikaona kuliko kwenda kwa kausha damu bora niende NMB nikafanye top-up sababu nilikuwa tayari namkopo, lakini baada ya kuchungulia account yangu wananiambia bado inasoma negative siwezi kupata chochote! Tangu nichukue mkopo ni mwaka mmoja sasa, lakini...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  12. gammaparticles

    JamiiForums Tanzania Hiki Chuo kinafundisha nini kwa hii ada

    Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika https://www.ndctz.go.tz/publications/joining-instruction
  13. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Hili Tangazo la Ada Bima la Tanzania Commercial Bank linasikitisha

    Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto. Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako" Katika kitu ambacho viumbe vyote vyenye Pumzi ya uhai vinafanyiwa ukatili ni mauti ya umpendaye. Nyuma unaacha shida na mateso...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ada ya Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) inalipwaje?

    Naomba kuuliza je pale cuhas ada ina lipwa mara ngap ili ikamilike yote?? Au n kwa mkupuo ?
  15. Tido The great

    JamiiForums Tanzania Kwa anaejua Ada katika chuo cha primary health care institute Iringa

    Habari zenu Wakijuwa, Naomba kuuliza Kwa anaefahamu Ada katika chuo cha primary health care institute Iringa Ni sh ngap Kwa mwaka natanguliza shukrani
  16. Tido The great

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa ada ya Chuo cha Primary Health Care institute Iringa

    Naomba kuuliza Kwa anaefahamu Ada katika chuo cha primary health care institute Iringa natanguliza shukrani
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tangu mwezi Machi serikali haijatuma fedha za fidia ya Ada mashuleni?

    Kama Hali iko hivo bila shaka Elimu Bure ilishafutwa kimyakimya.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  20. mackj

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada ya usajili wa huduma za technolojia TCRA zinakatisha tamaa wabunifu wanaoanza (start-up innovators)

    Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
Back
Top Bottom