Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni:
Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM.
Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90.
Kazi kweli kweli.
Aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo huku akijinasibu kuwa anataingia na kufunga goli dakika ya 90 bwana Bernard Membe, leo mbele ya waziri mkuu ametangaza kumuunga mkono rais Samia na kusema yupo tayari kuwa...
TAARIFA KWA UMMA.
Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021.
Baada ya tafakuri ya kina, ACT Wazalendo tumeamua kuwa HATUTASHIRIKI kikao hicho kwa...
#TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA
-Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ukiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ndugu Joseph Butiku na kufanya mazungumzo katika makao makuu ya...
Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo.
Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo
1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho?
2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
Wakuu, natumai hamjambo!
Mbali na CHADEMA, walioonesha nia ya dhati ya kutoshiriki hafla ya kukabidhi report ya uchaguzi 2020 inayotarajiwa kufanyika Leo , tar 21/8/2021, Vyama vya ACT na NCCR, vimetoa misimamo yao ya kutohudhuria hafla hiyo kwa madai mwaka 2020 hakukua na uchaguzi.
Kwa...
Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani unapenda kufanya kazi na aina ya viongozi unaowataka iwe kwa kuibua wapya au kuchagua miongoni mwa...
Siku chache zilizopita, niliongelea swala la kuwataka CHADEMA kujiepusha na matumizi ya neno "chama kikuu" cha upinzani nchini kwasababu mbalimbali mojawapo ni katika kuimarisha upinzani nchini na kuondoa inferiority complex miongoni mwa vyama vingine vya upinzani.
Katika dhana hiyo hiyo ya...
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde hadi watumishi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), waliohusika katika uchaguzi uliopita watakapowajibishwa.
Akisoma maazimio ya chama katika eneo la Konde Pemba wakati wa ziara maalum ya viongozi wa ACT-Wazalendo...
Huo utata lazima umalizwe sasa.
ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani?
Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja.
ACT Wazalendo wakikaa kikao kwa vyovyote vile watamtaka Mwinyi ajieleze na kwa uCCM ulivyo, wakina Mwinyi watawabeza ndipo...
Maandiko yalikuwa ukutani, wakayapuuza.
Mazingira ya kisiasa , Vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, sheria n.k vyote vilikuwa si rafiki sawa na hapo awtu ali lakini ACT Wazalendo walichagua kushiriki kubariki uchaguzi uliyopita na kuwapa CCM uhalali ambao waliuhitaji sana,wakati ACT wote...
Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania?
===========
Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
Habari.
Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito Kabwe na siyo CHADEMA inayoongozwa na Freeman Mbowe.
Bila kujua wafuasi wengi wa CHADEMA wamekuwa...
Na Mwandishi wetu,
Dodoma
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Nec kupitia vijana Jaffari Kubecha amekitaja chama cha Act Wazalendo kiteue watendaji vijana makini wenye maono, upeo na kufanya upambanuzi katika kujadili na kujibu hoja za kisiasa kwa uyakinifu bila kuingilia mambo ambayo aidha...
Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na ameichambua bajeti kuu ya Serikali iliyowasilishwa week iliyopita Bungeni.
Kwa...
Leo nimekutana na mwajiriwa na taasisi ya Banki Kuu ya Tanzania akiwa amechanganyikiwa. Kilicho mchanganya ni kitu cha ajabu sana. Aliniambia kesho 13.06.2021 wana ufunguzi wa jengo lao jipya jijini Mwanza. Kwa vile Banki Kuu ya Tanzania ni ya watanzania wote bila kujali tofauti zao- alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.