Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Ukiisoma vizuri katiba ya Zanzibar utagundua kuwa chama kinachotoa makamu wa kwanza wa Rais nacho kinakuwa ni chama tawala na kinatoa Mawaziri wawili muhimu.
Hii maana yake ni kuwa ACT-Wazalendo ni chama tawala pia na hata makamu wa kwanza wa Rais maalimu Seif akija Tanganyika itifaki...
Kwa sasa kuna kutoaminiana kati ya vyama shirika katika uchaguzi mkuu wa 2020 nikimaanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Kila kimoja kinalaumu kingine kwa maamuzi wanayochukua baada ya kufeli katika uchaguzi mkuu.
Sheria ya ushirikiano wa vyama vya siasa inataka pawepo mkataba wa kisheria...
Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi.
Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana.
Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
Tukio liko mubashara TBC
Karibu.
Updates;
Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai.
Walioapa
1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe
2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde
3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete
4. Salum...
Unaweza ukaishi kwa mfalme bila amani. Unaweza kuishi kwa mfalme ukawa na hofu hata ya majirani wema wanaoendelea na shughuli zao. Unaweza ukapata fursa ya kumshauri mkubwa akabaki kuwashambulia majirani wanaojiendeleza.
Ndivyo walivyo vijana wa chama tawala, muda walionao wangewekeza kushauri...
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba CHADEMA na ACT-Wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"
Wanachosahau makamanda wa CHADEMA ni kuwahoji viongozi...
Kinachoonekana sasa ni kwa CCM kuitumia nafasi ya ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko nchini Zanzibar ,CCM kwa kutumia sura mbalimbali inazojivalisha inaonekana inatumia wanachama wake na wa ndani wa vyama husika kutaka kujenga hoja na kuleta fitina ndani ya vyama vya...
Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo.
Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Ninaheshimu sana maoni yake na tunachukulia kwa uzito mkubwa ukosoaji wake kwa maamuzi ya vikao vya...
Wanajamii habari gani
Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi.
Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa.
PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
Nilimsoma Tundu Lissu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali Uchaguzi haukuwa huru na haki.
Nimemsoma tena Tundu Lissu akiwalaumu ACT-Wazalendo na Maalimu Seif kwa kukubali kujiunga na serikali ya Umoja wa kitaifa na kwamba wamewasaliti wananchi...
Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.
Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT-Wazalendo ya Zanzibar?
Mbona CHADEMA imeteua Wabunge wa...
Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
Naomba kwanza niweke wazi kabisa kwamba mimi si mwanachama wa chama cha ACT WAZALENDO na pia si mfuasi wake na wala siingilii msimamo wa viongozi wa chama hicho kama wao wenyewe walivyoamua , bali ifahamike kwamba mimi kama Mtanzania wa kuzaliwa ninayo haki ya kujadili makandokando yoyote...
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu.
Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye...
Ndugu zangu wa ACT-Wazalendo
Fanyeni mfano wa CHADEMA, achaneni na ujinga wa serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar!.
Serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kupatikana tu katika uchaguzi huru, wa haki ambao maamuzi ya wananchi kweli yameheshimiwa
Serikali ya umoja wa kitaifa haiwezi...
Huu ushauri wangu hauhusishi wanasiasa njaa/ Wanasiasa Maslahi, bali wanasiasa kweli wenye uchungu na nchi yao. Waliopo kwenye siasa kwa dhumuni la kuleta itikadi mbadala inayoenda kuleta mabadiliko ya kweli nchini katika maendeleo ya wananchi yanayoongozwa na demokrasia ya kweli na sio...
Ndugu Maalim Seif,
Tumekusikia ukikiri kupokea barua toka Serikali ya Zanzibar( Rais wa Zanzibar) juu ya kushiriki kwenu ACT Wazalendo kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Ushauri wangu kwenu ACT Wazalendo na Maalim Seif
Kamwe msiingie kwenye huu mtego. Kwa sababu kwenye miaka yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.