act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama amuandikia barua Rais Samia

    Mapendekezo ya ACT Wazalendo Kwa Rais Samia Suluh Hassan ili kuzifanya chaguzi kuwa za ushindani, huru na zenye uwanja sawa kwa vyama vyote vinavyoshiriki, tunaleta kwako mapendekezo yafuatayo; 1. Uanzishe mchakato wa kuifanya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kufanya shughuli zake kwa Uhuru...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  3. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Taarifa Rasmi ya Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Chaguzi za Marudio

    Taarifa Kwa Vyombo vya Habari UZOEFU WA ACT WAZALENDO KATIKA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA MARUDIO ZA 16 MEI 2021 Chama cha ACT Wazalendo kilishiriki katika chaguzi ndogo za marudio katika Majimbo ya Muhambwe na Buhigwe na Kata 5 kati ya Kata 17 zilizokuwa zinachagua Madiwani. Tuliamua kushiriki katika...
  4. J

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo ni imara Zanzibar huku Tanganyika afadhali ya Chadema!

    Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba. Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika. Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika. Zitto Kabwe ana...
  5. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

    Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi. Maelezo haya...
  6. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo. Kwaniaba ya...
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Othman Masoud awataka wananchi wa mkoa wa Kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili Serikali ipambane kuleta maendeleo

    Makamu wa kwanza wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, amewataka wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja kujenga umoja na mshikamano ili kutoa fursa kwa serikali kupambana katika kuleta maendeleo. Makamu wa kwanza ameyasema hayo mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kutembelea...
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yamtaka CAG Kukagua Fedha za Muungano

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni fungamano baina ya nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar, zilizoungana na kuweka...
  9. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT–Wazalendo walivyoichambua Ripoti ya CAG

    UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO KUHUSU RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2019/2020 Tunalipia Gharama za kuendesha Nchi Gizani UTANGULIZI Leo tarehe 11 Aprili, 2021 ni Mwaka mzima kamili tangu Chama chetu kifanye uchambuzi wa Ripoti ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania ITV wamkatia sauti Zitto

    Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja. Baada ya uchambuzi, wamerudisha LIVE. Wanaouliza maswali hawaoneshwi lakini u-tube wanaonesha Baada ya mchangiaji...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo wasema watashiriki uchaguzi mdogo jimbo la Muhambwe

    Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo Wamesema hauwezi kusimamisha shughuli zote kwa sababu ya kusubiri jambo moja. Hivyo watashiriki Uchaguzi huku...
  12. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo, Rais siyo Tume ya Uchaguzi

    ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais? Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni vyema wawe na msimamo tu kwamba Kama walivyoshinda Zanzibar ndivyo watakavyoshiriki uchaguzi huko...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo waonyesha uzalendo. Wengine wanatakiwa kuiga

    Huu ni mfano wa kuiga maana huu ni msiba wa kitaifa. === CHAMA cha ACT- Wazalendo kimewataka wanachama wake kujitokeza kwa wingi siku ya Jumanne Machi 23, 2021 katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli.
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kwa ACT wazalendo namna ya kutuma majina ya wateule "wapendekezwa" kwa wakati bila mizengwe!

    Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki. Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo au Rais wa Zanzibar ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais?

    Hebu twende kikatiba zaidi tuone Dhana nzima ya uteuzi ,je ni ACT WAZALENDO au RAIS WA ZANZIBAR ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais? Twende kikatiba zaidi, Ibara ya 39(1)(2)inasema. 39.(1) Kutakuwa na Makamo Wawili wa Rais ambao watajuilikanakama Makamo wa Kwanza wa Rais...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kumtegemea mtu mmoja ni tatizo, ACT Wazalendo inaweza kufa baada ya Maalim Seif kufariki

    Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia. Lakini naamini Mwamba Zitto...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19 Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wale Wabunge wa kuchaguliwa wa ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuongoza PAC na LAAC?

    Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu. Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mliosoma vyema Communication Skills na Public Speaking hii style ya Kuongea ya Abdul Nondo wa ACT-Wazalendo inaitwaje?

    Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake.... 1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz. 2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake. 3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu. 4...
  20. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

    Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya . Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae. Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya...
Back
Top Bottom