act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

    Salaam Wakuu Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani. Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi. Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka ndani ya Ngorongoro kuzindua kampeniza uchaguzi mdogo wa Mbunge

    Chama Cha Mapinduzi kuzindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi mdogo jimbo la Ngorongoro trh 26|11|2021 katika Viwanja vya Malambo kata Sale. Kampeni hizo zitazinduliwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi "Simba wa Vita " Shaka Hamdu Shaka akiambatana na Viongozi mbalimbali pamoja Wale wa Wilaya...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

    Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
  5. R

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yamkingia Kifua Jenerali Ulimwengu dhidi ya vitisho vya Spika Ndugai

  6. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Duni Haji kumrithi Maalim Seif Uenyekiti ACT Wazalendo

    Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Duni maarufu kama ' Bob...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani (CCM) aibuka kidedea

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357 Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
  8. Q

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Abdallah Said Hamad amemtangaza Mgombea wa ACT-Wazalendo, Mohamed Said Issa kuwa mshindi wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo 09 Oktoba, 2021 Mohamed Said Issa amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za mgombea wa CCM, Mbarouk Amour...
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

    Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na baadae kumfukuza kutokana na utovu wa nidhamu kuwa kitamjadili kwanza ili wamuone kama wamkubalie...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Iwe uongo au kweli, hapa Upinzani wana cha kujifunza

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini hali kwa Lowassa ikiwa hivyo, Membe ndio sikumuelewa kabisa. Kwanza ile anaingia tu ACT na kupewa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni: Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM. Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90. Kazi kweli kweli.
  13. Etwege

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe huna sifa wala uwezo wa kuwa 'campaign manager' wa Rais Samia

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo huku akijinasibu kuwa anataingia na kufunga goli dakika ya 90 bwana Bernard Membe, leo mbele ya waziri mkuu ametangaza kumuunga mkono rais Samia na kusema yupo tayari kuwa...
  14. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yakataa kushiriki Kikao cha Msajili

    TAARIFA KWA UMMA. Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021. Baada ya tafakuri ya kina, ACT Wazalendo tumeamua kuwa HATUTASHIRIKI kikao hicho kwa...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yamteua Julius Nkwabi Mabula kuwa mgombea Ubunge jimbo la Ushetu

    Hiyo apo chini
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere wafanya mazungumzo na ACT Wazalendo

    #TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA -Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ukiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ndugu Joseph Butiku na kufanya mazungumzo katika makao makuu ya...
  17. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

    Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo. Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo 1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho? 2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara ya wapinzani inafanyika Zanzibar, wakati Tanganyika imezuiliwa. Je, Rais Samia ana double standard?

    ..haya hapa ni maandamano ..huu hapa ni mkutano wa hadhara.
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT Wazalendo hawashiriki uzinduzi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 wakati wameunda Serikali huko Zanzibar?

    Wakuu, natumai hamjambo! Mbali na CHADEMA, walioonesha nia ya dhati ya kutoshiriki hafla ya kukabidhi report ya uchaguzi 2020 inayotarajiwa kufanyika Leo , tar 21/8/2021, Vyama vya ACT na NCCR, vimetoa misimamo yao ya kutohudhuria hafla hiyo kwa madai mwaka 2020 hakukua na uchaguzi. Kwa...
  20. Mashimba Son

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 ya Rais Samia Suluhu: Ni upi mustakabali wa 'wanasiasa pendwa' wa Hayati Magufuli?

    Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani unapenda kufanya kazi na aina ya viongozi unaowataka iwe kwa kuibua wapya au kuchagua miongoni mwa...
Back
Top Bottom