Search results

  1. Papizo

    Huduma kwa wateja ya Air Tanzania siyo nzuri

    Ndugu zangu naomba nitoe la moyoni kuhusu Air Tanzania Head office. Kama wakisoma na wakikasirika ni sawa tu. Sio wote humu ndani tunaishi Tanzania tuna book ticket online tunahitaji confirmation kuhusu ndege na kila kitu ila ukipiga simu kwanza wafanyakazi wana dharau sana tena sana na pia...
  2. Papizo

    Road Trip Tanzania to Zimbabwe

    Habari wakuu hope mnaendelea vizuri kwa kazi zetu za siku zote.... Me nilikuwa naomba tu uzoefu wa watu ambao wamejaribu hii kitu je ilikuwaje na inachukua siku ngapli hasaa nategemea mwezi wa tano kuendesha gari yangu mwenyewe na mke wangu kama adventure kuanzia Dar kwenda Zimbabwe je naombeni...
  3. Papizo

    Kuku wangu wanakufa msaada tafadhali

    Wakuu hapa kati nilikuja na uzi wa kusema natafuta kuku wa kienyeji wasiochanjwaa.... Niliweza kufanikiwa kununua kuku sehemu tofauti na wengine nilipata kutoka mbeya ila walivyofika nikawachanganya bila kuwapa chanjo wala dawa zaidi ya alovera Now kuku wanakufa vibaya sanaa wanamafua na...
  4. Papizo

    Nanunua kuku wa kienyeji pure

    Wakuu habari Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi naomba mnisaidie tafadhali kama kuna mtu anaweza kunikusanyia hata kutoka mikoani kuleta dar...
  5. Papizo

    Nanunua kuku wa kienyeji pure!!

    Wakuu habari Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi naomba mnisaidie tafadhali kama kuna mtu anaweza kunikusanyia hata kutoka mikoani kuleta dar...
  6. Papizo

    Naomba Fundi mzuri wa AC Dar Es Saalam

    Wakuu naomba msaada wenu kama kichwa cha habari kinavyosemaa.. Kwa hapa dar aapi nitapata fundi mzuri wa kueleweka na muaminifu wa AC maana nina gari ila inasumbua sanaa AC haifanyi kazi kuna mahali nimeipeleka imerudi ukiongeza kutoka number 1 kwenda 2 inabakia vile vile plus saa zingine...
  7. Papizo

    Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

    Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB hamna nyimbo ya maana hata moja umeachia ukasikika Sasa hivi umepotea na hatukusikii kabisaaa...
  8. Papizo

    Kama hujamuona ndugu yako usiku huu wahi Sayansi Darajani

    Ndugu zangu sasa hivi nimepita Sayansi pale shell kama hujamuona ndugu yako hajarudi basi tafadhali wahi hapo sayansi darajani atakuwa ameishia hapo. Kuna ajali mbaya sana imetokea pale na watu zaidi ya wawili wamefariki kati ya boda boda na gari nyeupe fulani nyuma ipo wazi. Sijui nini...
  9. Papizo

    Wameniibia duka lote la vinywaji

    Wakuuu naombeni msaada wenu kwa hali yoyote nipo tayari kuingia gharama ikiwezekana,nilikuwa na dula la vinywaji vikali maeneo ya kinondoni ila bahati mbaya sijui mchezo ulifanyika na muuzaji wakaiba duka zima vitu vikawa vimebaki vichache sanaa... sasa hivi tena kama siku 3 zimepita wamekuja...
  10. Papizo

    Pre Inspection and Marine Insurance

    Wakuu naomba msaada kati ya hayo mawili kichwa cha habari kinavyosema nilikuwa nataka kuagiza je kuna haja ya mimi kulipa pre export inspection or Marine Insurance??naomba naomba waalam ambao mmeshaagiza magari Japan mnijulishe tafadhali hili jibu, naamini wengi mtakuwa mnajuwaa...
  11. Papizo

    Wizi maeneo ya Mbuyuni na Magomeni pale Bondeni

    Wakuu hii nawapa attention tu watu wote ambao mnapenda kutembea usiku naomba muwe makini sana. Hili eneo la mbuyuni na magomeni hospitali hapa katikati kwenye lile bonde,pale hapafai hata kidogo kuanzia majira ya saa saba mpaka saa tisa usiku. Kwa kifupi kuna majambazi pale wanakuwaga na gari...
  12. Papizo

    DJ Khaleed huwa anaimba nini?

    Nimekaaa nimemfatilia sana huyu jamaa bado simuelewi elewi mpaka sasa,unashangaa anatoa video kali sanaaa na yeye ndio mwenye wimbo ila kwenye huo wimbo sioni anachoimba au mimi ndio sijui mziki vizuri,Tuangalie kwanza hizi video kidogo hapa chini alafu turudi kuambiana kwanza.
  13. Papizo

    Ali Kiba Kupanda jukwaa moja na Nick Minaj Septermber

    Tamasha la 'TribeOne Dinokeng' limeandaliwa na ROCKSTAR4000 na Sony Music Entertainment na litafanyika tarehe 26 - 28 September Alafu mnasema Ally Kiba hajui mziki kijana mambo yake anafanya kimya kimya na sio kwa kujitangaza na kushinda mitandaoni, sitaki kumsema mtu ila napenda mtu...
  14. Papizo

    Msaada wa Ticket kwenda South Africa na Hotel !!

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba msaada nataka niende huko mwaka huu hata kwa siku 4 tu au 5 days kubadilisha hali ya hewa baada ya likizo yangu fupi nikiwa hapo dar... Sina ndugu wala jamaa huko naenda mwenyewe tu nimeamua, so nataka nijue namna watu wanakata ticket...
  15. Papizo

    Huyu na yeye anajiita JAY MASWAGGER ame copy wimbo wa marehemu SHARO Millionea

    Wakuu hii tabia naona sasa inaeendelea hapa bongo kwenye music, maana vijana wanapenda sana mteremko na kutoka kwa kutumia migongo ya watu, sasa huyu jamaa anajiita JAY MASWAGGER, ame copy huu wimbo hapa Changanya Changanya Sharo Milionea Ft. Ali Kiba New music Ugrecords1 - YouTube Ilikuwaa...
  16. Papizo

    Exclusive: Robby one & big jahman wapelekwa jela kwa mali ya wizi....

    Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi...
  17. Papizo

    Je nimemjibu jamaa vibaya kuhusu mchumba wangu??

    Wakuu naomba msaada,maana leo nimepata drama ambayo sijawahi kuipata,nitaandika inshort tu,actual nilikuwa na mchumba niseme ambayo hivi mwezi wa saba narudi tuliplan maisha na kwenda kwa family,sasa kwa vile tupo mbali tukawa tunawasiliana sana na tukawa tuna share password zetu,basi ikafikia...
  18. Papizo

    Tucheke kidogo, huyu mzee noma

    Mzee Noma - YouTube Huyu mzee kwa kweli ni noma sijawahi kuona anavyoongea aisee, kweli sisi wanaume hatuzeeki kabisa hata kidogo.....
  19. Papizo

    Dogo noma huyu

    At dinner a little boy offered to lead in prayer; Dear GOD, I thank you for giving me such lovable parents, Thanks for visitors and their children who finished all my cookies & ice cream.Bless them so that they wont come again. Forgive our neighbour's son who was wrestling with my sister on...
  20. Papizo

    Kuhusu HATI ya shamba

    Wakuu naombeni msaada wenu maana inabidi nifanye haraka iwezekanavyo so nahitaji hasa mawazo na nini nifanye,mwaka 1997 nilinunua ekari kama 4 hivi mbezi ya morogoro road kipindi hicho kulikuwa kuna pori sana na nilinunua kwa shilling 9,000 tu.....so sasa hivi hiyo sehemu watu wamenizunguka na...
Back
Top Bottom