DJ Khaleed huwa anaimba nini?

DJ Khaleed huwa anaimba nini?

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,250
Reaction score
2,162
Nimekaaa nimemfatilia sana huyu jamaa bado simuelewi elewi mpaka sasa,unashangaa anatoa video kali sanaaa na yeye ndio mwenye wimbo ila kwenye huo wimbo sioni anachoimba au mimi ndio sijui mziki vizuri,Tuangalie kwanza hizi video kidogo hapa chini alafu turudi kuambiana kwanza.

Last edited by a moderator:
Yule ni dj hapo anauza sura tu kwa kutoa nyimbo na kuwashirikisha wasanii wakubwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kazi yake ni kuwachukua wasanii wakali, anawalipa wanaingia studio wanaimba na mwisho wa siku mmiliki wa huo wimbo ni Dj Khaleed. Kibongo bongo Dj Choka nae anacopy style hiyo.
 
mjanja mjanja tu hamnaga rapper pale na hata awards zake na nominations zake zote alizopata ni za udj au collabo ambayo yeye kapiga makelele mengi kazi wamefanya wenye fani yao
 
Choka hana hela ..amechoka kama jina lake!
 
mjanja mjanja tu hamnaga rapper pale na hata awards zake na nominations zake zote alizopata ni za udj au collabo ambayo yeye kapiga makelele mengi kazi wamefanya wenye fani yao

Mkuu upo sahihi kabisa kazi kubwa kutaja jina lake na we the best kamaliza...jamaaa uwa nashangaa wanampa sana tuzo anachoimba hakuna
 
All i do is win remix

[DJ Khaled]
Sittin' on the top floor
What you think I'm hot for
Every summer drop more
Hits to make my stock go (up)
Them hands go (up)
Them fans go (up)
Number one in this bitch and I'ma (stay there)
We the best of the best
While you haters asleep

I'm yelling free weezy
I at the heart of the streets
Who hotter than me (Khaled)
I'm wearing the crown (we can't stop, won't
stop)
Go hate on me now.
 
Mi sishangai dj Khaleed kuchukua tuzo,kwa nchi zilizoendelea wanachoangalia kwa msanii ni FANI,kwa nchi masikini watu wanaangalia MAUDHUI.
 
ni dj by proffesional,ndo mana hayo ya kuimba kawaachia wanaoweza,ni creative ndo mana idea yake other dudes outside wanacopy kama dj mustard,choka.etc
 
Mzee wa Kelele Huyo jamaa DJ na Producer atakuwa Club kubwa yeye Radio kubwa yeye kwahiyo Wasanii wa hip-hop watakuwa na Huyu mtu zaidi nyimbo zao zitese DJ Khaled anajuwa anachokifanya na walio karibu naye wanajuwa nini wanakifanya Kuwa karibu naye Kama P Diddy ila P Diddy smart zaidi angalau alikuwa anaimba na mfanya biashara Mzuri.
 
mkuu hebu mtake radhi diddy huwezi kumlinganisha na dj khaleed
 
Sababu nimemuweka kwenye sehemu moja na mazungumzo ya DJ Khaled haimaanishi nimemzarau ndomana nikasema P Diddy ni mfanya biashara Mzuri ila kwenye kuimba naye alikuwa anadonoa tu Hilo tukubali tuwache upambe uliozidi mipaka kila mtu anajuwa sehemu aliokuwa DJ Khaled na aliokuwepo P Diddy.
 
diddy hata kuimba yupo vizuri tofauti na dj khaleed coming home imeshawahi kushika namba moja billboard na mashairi yote kaimba mwenyewe tofauti na dj khaleed ambaye nyimbo zake zikianza atalitaja jina lake kisha atasubiria waimbe wengine hata kiitikio haimbi yeye anamtegemea t-pain karibu nyimbo zote

diddy kamuacha pakubwa sana dj khaleed
 
Yule ni dj hapo anauza sura tu kwa kutoa nyimbo na kuwashirikisha wasanii wakubwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Nilikuwa simuelewagi huyu jamaa ila now ndio nimeona comment za wadau sasa nimemuelewa...
 
Kazi yake ni kuwachukua wasanii wakali, anawalipa wanaingia studio wanaimba na mwisho wa siku mmiliki wa huo wimbo ni Dj Khaleed. Kibongo bongo Dj Choka nae anacopy style hiyo.

Duuu sio mchezo sasa hivi jina lake linaweze kujulikana zaidi kwa mpango huo???maana na hao watu si anawalipa hela nyingi??
 
mjanja mjanja tu hamnaga rapper pale na hata awards zake na nominations zake zote alizopata ni za udj au collabo ambayo yeye kapiga makelele mengi kazi wamefanya wenye fani yao

Hahahaha ni kweli kabisaaa mkuu wala hujakosea kabisaaa jamaa makerere mengi sana alafu anamtegemea sana T PAIN,wenye fani zao wanaimba sio kidogo huyu kelele tu
 
diddy hata kuimba yupo vizuri tofauti na dj khaleed coming home imeshawahi kushika namba moja billboard na mashairi yote kaimba mwenyewe tofauti na dj khaleed ambaye nyimbo zake zikianza atalitaja jina lake kisha atasubiria waimbe wengine hata kiitikio haimbi yeye anamtegemea t-pain karibu nyimbo zote

diddy kamuacha pakubwa sana dj khaleed

T PAIN anambeba sana huyu DJ KHALEED maana kila sehemu T PAIN anafanya vizuri sanaaaaaa jamaa kazi yake kubwa kutaja jina lake tu basi
 
Duuu sio mchezo sasa hivi jina lake linaweze kujulikana zaidi kwa mpango huo???maana na hao watu si anawalipa hela nyingi??

Yap, anawalipa mpunga mzuri ila naye anapiga hela ndefu, ndo mana mara kwa mara anafyatua ngoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom