Pre Inspection and Marine Insurance

Pre Inspection and Marine Insurance

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,250
Reaction score
2,162
Wakuu naomba msaada kati ya hayo mawili kichwa cha habari kinavyosema nilikuwa nataka kuagiza je kuna haja ya mimi kulipa pre export inspection or Marine Insurance??naomba naomba waalam ambao mmeshaagiza magari Japan mnijulishe tafadhali hili jibu, naamini wengi mtakuwa mnajuwaa...
 
Pre export inspection, kwa uhalisia haina maana yoyote. Kwa sababu kama gari litakuwa na hitilafu hiyo pre export inspection haisaii lolote zaidi ya kula hizo dola zako 300 kama sikosei, isipokuwa ni lazima kwa kukidhi import regulations za inchi yetu maana kuna mawakala wa tbs huko Japan na inchi nyingine wanapouza magari. Na usipo fanya utapigwa fine asilimia flani hivi ya FOB! Kuhusu insurance nadhani umuhimu wake unaufahamu, ila sijajua meli ikizama sijui una claim wapi? Hahahah wajuzi watujuze...
 
Powaaa kabisaaa mkuuu hapo nimekuelewa vizuri sasa nashukuru sanaa,maana nimeona hiyo inspection jamaa wanakula hela za bure tu naonaaa,bila hata aibu kabisaaa.....meli ikizama hapo ndio kuna mtihani mkubwa mkuu hamna sehemu ua ku claim....
 
Pamoja kiongozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom