Exclusive: Robby one & big jahman wapelekwa jela kwa mali ya wizi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Exclusive: Robby one & big jahman wapelekwa jela kwa mali ya wizi....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Papizo, Sep 20, 2012.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi...

  Kikitutaarifu chanzo chetu cha habari hii kilituambia kuwa wajasilia mali hao walikutwa na mizigo ya nguo Kwenye Maduka yao ikiwemo Suti na Viatu aina ya Moka au maarufu kama 4'EnGo ambavyo vinadaiwa kuwa vimeibiwa...Vitu hivyo inasemekena kuwa vina thamani isiyopungua Shilingi Millioni Mia mbili,hivyo kupelekea dhamana ya kesi hio kuwa ni hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa, chanzo chetu kinasema kuwa Wadau hao hawakuweza kutimiza ama kuwasilisha Hati hizo za nyumba ili kupata dhamana, hivyo kupelekea Moja kwa moja kupandishwa kwenye Kalandinga na kupelekwa Segerea...  Source: Kutoka kwa Diamond

  N.B Wakuu hawajaa kama wewe ni mpenzi wa nguo hapa dar basi mtakuwa mnawajuwa wana maduka sehemu mbali mbali ya jiji....So wapo segerea now....hela inatafutwa kwa kila njia kwa kweli....Picha zao naziweka soon now natumia simu....


  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   

  Attached Files:

 2. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  sijakusoma kuhusu diamond,ni kwamba kawa ripota sku izi ama vp!!

  Wenye maduka kino pale wote wezi,uyo robby kwanza ni muuza unga nguo anazugia tu.
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu wangu acha tu,ndio mjini watu wanavyoishi,ni noma...na ukifanya hiyo kazi haramu lazima uwe na sehemu ya kujishikisha hata kukiwaka unasema unafanya biashara fulani.....kila mtu anaishi anavyojuwa vile vile ana maduka mengine kariakoo pia....

  Ukicheck site yake utaona kaweka hii issue....

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,107
  Likes Received: 7,364
  Trophy Points: 280
  May be Diamond Blog.
  Bongo nani asie mwizi?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi sana funga hao wezi.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwa kinondon lolote lawezekana
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wakuu sasa mzgo wote huo utakuwa umeibiwa wapi jamani me bado nimejiuliza sipati jibu au connection tu??
   
 8. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani huyo Diamond ni mkurugenzi wa moja ya blogs tanzania!
   
 9. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2015
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,433
  Likes Received: 12,599
  Trophy Points: 280
  Bado wapo segerea
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2015
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Duh...
   
 11. kwich kwich

  kwich kwich JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2015
  Joined: Feb 23, 2015
  Messages: 366
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hatari.....
   
 12. i

  iMind JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2015
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Thread ya mwaka 2012...duu
   
Loading...