Nanunua kuku wa kienyeji pure!!

Nanunua kuku wa kienyeji pure!!

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,250
Reaction score
2,162
Wakuu habari

Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi naomba mnisaidie tafadhali kama kuna mtu anaweza kunikusanyia hata kutoka mikoani kuleta dar nitashukuru ila nahitaji mbegu nzuri na nahitaji tetea peke yake nipo tayari kuchukua hata 30 kama bei nzuri...

NB Sitaki kuku ambao wamechanjwa na kupewa madawa ya kizungu sitaki hao nataka kuku ambao wale pure na hawajapewa madawa yoyote ya kizungu....

Nahitaji kwa ajili ya kufuga mimi mwenyewe...

Nawasilisha...
 
Mkuu fanya 10,000 nikuletee kiasi unachokitaka
 
Hutaki kuku walio chanjwa inategemeana ni chanjo gani, maana hata wewe utapo anza wafuga lazima utawapa chanjo tuu.
 
Ana fikiri kuku wa kienyeji ni immune to desease !ngoja wachezee mdondo ndio atawajua vizuri ndani ya siku 3 hubaki na kuki hata mmoja!.
Long enzi za ufugaji wakienyeji kuku hata wakiwa wengi vipi hawachinjwi mpaka aje mgeni ila ukiingia mdondo tu mwana mnapiga vyuku vya mitido yote daily ?wa kuchoma supu kukaanga ili mrado kisu kina damu kila siku!
 
Hahahaa, Dawa kwa ufugaji wa kuku hai epukiki, mdondo ni hatari wallah.
 
Wakuu habari

Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi naomba mnisaidie tafadhali kama kuna mtu anaweza kunikusanyia hata kutoka mikoani kuleta dar nitashukuru ila nahitaji mbegu nzuri na nahitaji tetea peke yake nipo tayari kuchukua hata 30 kama bei nzuri...

NB Sitaki kuku ambao wamechanjwa na kupewa madawa ya kizungu sitaki hao nataka kuku ambao wale pure na hawajapewa madawa yoyote ya kizungu....

Nahitaji kwa ajili ya kufuga mimi mwenyewe...

Nawasilisha...
Next week narud kutoka Songea.
Kuku heavy wenye kila sifa kila mmoja 10k usafiri juu yako. Call/txt/whatsapp 0765961152
 
Ana fikiri kuku wa kienyeji ni immune to desease !ngoja wachezee mdondo ndio atawajua vizuri ndani ya siku 3 hubaki na kuki hata mmoja!.
Long enzi za ufugaji wakienyeji kuku hata wakiwa wengi vipi hawachinjwi mpaka aje mgeni ila ukiingia mdondo tu mwana mnapiga vyuku vya mitido yote daily ?wa kuchoma supu kukaanga ili mrado kisu kina damu kila siku!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nnao mbezi ya kimara wapo 10 wa miezi 4 na 5 wote 120000 pure kienyeji kabisa nicheki 0787429104 bei haipungui
 
Ana fikiri kuku wa kienyeji ni immune to desease !ngoja wachezee mdondo ndio atawajua vizuri ndani ya siku 3 hubaki na kuki hata mmoja!.
Long enzi za ufugaji wakienyeji kuku hata wakiwa wengi vipi hawachinjwi mpaka aje mgeni ila ukiingia mdondo tu mwana mnapiga vyuku vya mitido yote daily ?wa kuchoma supu kukaanga ili mrado kisu kina damu kila siku!
Umenikumbusha mbalisana...hahahhaahah
 
Elfu sita? Ukipata kwa bei hiyo Sili tena nyama ya ng'ombe wala kitimoto. Itakuwa ni kuku tu.
 
Back
Top Bottom