Naomba Fundi mzuri wa AC Dar Es Saalam

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,781
2,000
Wakuu naomba msaada wenu kama kichwa cha habari kinavyosemaa..

Kwa hapa dar aapi nitapata fundi mzuri wa kueleweka na muaminifu wa AC maana nina gari ila inasumbua sanaa AC haifanyi kazi kuna mahali nimeipeleka imerudi ukiongeza kutoka number 1 kwenda 2 inabakia vile vile plus saa zingine ukiwasha haiwaki moaka iingie kwenye bonde ndio unaona inawake nimepeleka kwa fundi nimepigwa laki 150000 ila sijui anasema amechange nini ila tatozo lipo pale pale je kwa dar fundi gani wa uwakika kwenye haya mambo??

Naombeni msaada wenu tafadhali....
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,781
2,000
Asante sana tena sana ndugu yangu nashukuru sana nitaensa hapo alafu nitaleta majibu.....
 

kasii

Member
Aug 28, 2012
98
125
mpigie huyu fundi 0713/715 321718 alie bobea kwenye kazi hio akikuzingua kwenye kazi basi hakuna fundi mwingine atakaee weza

Sent from my HUAWEI MT7-TL10 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom