Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,445
Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB hamna nyimbo ya maana hata moja umeachia ukasikika
Sasa hivi umepotea na hatukusikii kabisaaa
Je swali linakuja huko WCB unafanya nyimbo nzuri kama hizi ambazo uliwahi kufanya ukiwa mwenyewe....nilikuwa napenda sanaa mziki wako na ulikuwa unajiamini sanaaa na unatoa video nzuri kama Jux ila huko umepotea kabisaaaa....
N.B wakuu hii mada siongelei maslahi ya mtu binafsi wala sijaongelea nini amepata au nini amefata WCB hii mada naongelea mziki wake yeye kama yeye kwa jinsi alivyokuwa anaimba so naombeni kama mnataka ku discuss WCB anapata kiasi gani hiyo ni mada nyingine inabidi ifunguliwe tuongee hayo....tuwe wepesi kuelewa mtu akiandika na sio kukurupuka tu....