Nanunua kuku wa kienyeji pure

Nanunua kuku wa kienyeji pure

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,250
Reaction score
2,162
Wakuu habari

Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi naomba mnisaidie tafadhali kama kuna mtu anaweza kunikusanyia hata kutoka mikoani kuleta dar nitashukuru ila nahitaji mbegu nzuri na nahitaji tetea peke yake nipo tayari kuchukua hata 30 kama bei nzuri...

NB Sitaki kuku ambao wamechanjwa na kupewa madawa ya kizungu sitaki hao nataka kuku ambao wale pure na hawajapewa madawa yoyote ya kizungu....

Nahitaji kwa ajili ya kufuga mimi mwenyewe...

Nawasilisha...
 
Mkuu watu wanafuga kuroiler siku hizi

Nimewasikia hao kuku je wanapatikana wapi na wana mudu mazingira yetu??nataka niwafuge kienyeji zaidi......
 
Mkuu sasa hata ukifuga kuku wa aina gani lakin chanjo na dawa kwa kuku ni muhimu labda uniambie unatumia dawa gani za asili kwa ajil ya chanjo na dawa za kuku wa asili

Kuna madawa ya kienyeji miti inasaidia sanaa tena sanaa mkuu na kuku hutokuta wanakusumbua hata siku moja....haya madawa ya kizungu aisee inabidi mufanyie research zaidi na kuona kama hayasababishi magonjwa
 
Mkuu hiyo 6000 hadi 8000 ni idadi ya kuku au bei? Kama unataka ufikishiwe hadi Dar kwa hiyo bei hiyo bei ni ndogo mno. Hiyo bei ni ya mfugaji huko porini ukienda bomani kwake. Tena kuku wa kawaida bado sio wakubwa kiviile.

Hapana hiyo bei ya kuku tu kuwachukua maana gharama za kunitafutia na usafiri ni juu yangu kabisa mwenyewe.....hapo wakipatana then mtu ananiambia jumla kiasi gani kutuma na nampa hela yake ya kazi....nimepata kama 20 kutoka mbeya tayari...
 
Ulikuwa unataka wangapi?
 
Kuna madawa ya kienyeji miti inasaidia sanaa tena sanaa mkuu na kuku hutokuta wanakusumbua hata siku moja....haya madawa ya kizungu aisee inabidi mufanyie research zaidi na kuona kama hayasababishi magonjwa
Mkuu mm naomba elimu ya hizo dawa za kienyeji za mimea. Nitashukuru sana
 
Mkuu mm naomba elimu ya hizo dawa za kienyeji za mimea. Nitashukuru sana

Zipo nyingi sana na mimi nimeelekezwa tu na mfugaji mkubwa sanaa anafuga hawa kuku..nitakutumia maelekezo pia...hatumii haya madawa ya kizungu kabisaa na hajawahi hata siku moja
 
Back
Top Bottom