Je nimemjibu jamaa vibaya kuhusu mchumba wangu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je nimemjibu jamaa vibaya kuhusu mchumba wangu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Papizo, Jun 4, 2012.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wakuu naomba msaada,maana leo nimepata drama ambayo sijawahi kuipata,nitaandika inshort tu,actual nilikuwa na mchumba niseme ambayo hivi mwezi wa saba narudi tuliplan maisha na kwenda kwa family,sasa kwa vile tupo mbali tukawa tunawasiliana sana na tukawa tuna share password zetu,basi ikafikia wakati nikaona mambo ya ajabu ajabu mara kachange password nikimuuliza hana sababu again ya kuniambia na attitude akawa anayo na dharau nyingi,hapo hapo tufahamu sijaanzana nae jana wala leo since nipo form 1 mda mrefu sana tupo wote.
  Kama 2 months ilifikia akaniambia mimi na wewe basi eti nina wanawake wengi sana nikamuuliza ume prove ninao??akawa hana la kunijibu,nikamwambia ok fine hamna tatizo na maisha mema,sasa week kama 3 zilizopita akaja kuniomba msamaha na kusema nimsamehe me nikamuelewa nikamsamehe coz sikutaka relationship ife hivi hivi nikakaza moyo nikamsamehe.

  Lakini tulivyokuwa tunawasiliana nikawa naona kuna somethin wrong sio normal nikamwambia akasema ananipenda sana hamna kitu. Na nimuamini nikamuuliza sasa mbona una tabia za ajabu ajabu anasema ndio nilivyo,basi me nikawa mpole sana na mvumilivu kwa kweli kwanza huwa sipendi kugombana kwa ajili ya vitu vidogo.

  Sasa leo hii nimepigiwa simu mchana majira ya saa kumi namsikia mchumba wangu ananiambia kwamba ongea na bf wangu nikamuuliza unasemaje??na wewe ni nani??akanitajia jina lake coz sikuamini kama ni yeye,akasema ongea na bf wangu mwambie kwamba mimi na wewe tumeachana,me nilishasemaga sitokuja kugombana kisa mwanamke.akampa simu jamaaa akawa anawaka vibaya sana nikamwambia kaka calm down sawa wala usijali,akaniambia nimeona sehemu fulani umetumiana message za ajabu ajabu na huyo msichana wewe ni nani??Nikamjibu kwanza hajakuambia mimi ni nani??akasema wewe ndio niambie nikamwambia niulize swali lingine kipindi hicho kichwa hakifanyi kazi,akaniambia huyu ni gf wangu na next week naenda kutoa mahali kwao,nikasema ohhh ok sawa nikamuuliza umeanzana nae lini akasema miaka 2 iliyopita,me nikakauka kimya,akasema basi naomba mawasiliano yaishe na mke wangu nikamjibu wewe ni ndugu yangu na sisi wote ni wanaume so mkuu usijali zaidi tuzidi kuwasiliana sisi wote ni ndugu,nimemjibu kisomi na sikuonyesha kupanic,

  Je wakuu wangu kuna mahali nimejibu vibaya??au yule alikuwa mchumba wangu kumbe mwanamke ana mwanaume mwingine kulikuwa na haja ya mimi kugombana na jamaa kwa ajili ya mwanamke??je majibu niliyomjibu kuepusha shari na kumuachia mwanamke nimefanya vizuri au nimekosea??
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Aisee pole sana na hongera kwa sio uvumilivu tu bali busara pia. U are true gentleman na Mungu akujalie mdada mzuri mwenye mapenzi na aliyetulia.

  You did the right thing, she is not worthy ur povu wala energy. Good riddance na kwa huyo dada huyo kaka si mzuri looks wanagombana sana na ndio maana alikuwa anajirudi kwako mambo yanavyoharibika huko. She will never know real happiness!

  Again pole na hongera!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  pole, ndo drama za mapenzi.

  Kuna mmoj alienda hospital kumsalimia, yule dada akamruka kama hamjui tena akisema 'hospital hii vichaa wao hawawafungii'
   
 4. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Eeh, pole Bro, wala siamini alichokufanyia,eeh, anatapikaga amasi nini mwenzetu, ndio maana anajiona wa maana sana, just mpuuze tu, usihangaike naye anataka kukucontrol kama simu yake ya mkononi huyo, ukimbabaikia atajiona keki sana, mpotezee, asikufanye mjinga na *****, usijiumize zaidi kwake, usije ukampa na password na kadi ya ATM bure!
   
 5. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I mean almasi
   
 6. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I mean almasi
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,732
  Likes Received: 82,671
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa mkasa huu ambao ni lazima utakuwa umekuathiri sana. Sioni mahala ulipojibu vibaya ulikuwa mstaarabu kupita kiasi. Mie nsingeweza kabisa kuwa mstaarabu kiasi hicho kusema kweli lazima ningemjibu hovyo kwa sababu hukuwa na kosa lolote lile la jamaa kukuwakia kiasi hicho. Pole sana.
   
 8. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Huo ndio uanaume. I have the same story as yours. Mie nikaachana naye, baadaye na mtu wake wakashindwa kuoana. Mie kwa bahati nzuri nilibahatika kuoa na jana tuu tumepata first born baby boy na tunafurahia maisha. Yule binti mpaka sasa bado hajaolewa na baadaye alikuja kuniambia kuwa anajutia maana anaona kabisa ndani ya nafsi yake kuwa mimi ndo mumewe, mimi nikamwambia alichezea shiling kwenye shimo la choo-ikadumbuki ndani. All in all huwezi jua Mungu amekupangia nini, be calm and confident. Mungu atakupa mke mwema na utayafurahia maisha. Mungu akusaidie na kukuongoza.
   
 9. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Papizo, wewe ni bonge la Gentleman na msomi. Hongera kwa hiyo, umemjibu vizuri na kiungwana.
  Pia pole kwa huo mkasa, usijali Sir God ana mipango mizuri zaidi kwako, utampata mdada mzuri na muaminifu zaidi ya huyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nimependa spirit yako ya kutogombea demu, safi sana wee kama mie aisee. Just stay calm na cha msingi tafta ela kwanza utawakamua wengi tu na watakuja wenyewe. Hamna haja ya ku-think twice for a friggin chick.
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  .....papizo pole sana. Shukuru mungu sana, sana, sana kwa hayo yaliyokutokea. Mw'mungu amekuumbulia mnafiki, na sasa umejua rasmi haktwa mkweli kwako.

  Niliwahi pata a similar experience 2002....na nakumbuka nilipigiwa simu na kuambiwa 'huyu mimi ni gf wangu, nataka kumuoa'....nami nikamuuliza fiancee wangu, aamue....(akanichagua mimi!)...

  Kilichofuatia miaka katika miaka tisa ya mahusiano-saba ya ndoa....ni aheri ningemuachia jamaa hilo zigo. DONT YOU DARE ati kesho au keshokutwa akikurudia na kilio cha msamaha nawe ukakubali kumsamehe. USITHUBUTU kurudiana nae hata kama unampenda vipi!!!! Pse bro...
   
 12. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  nakupongeza kwa kuwa busara ilitawala ktk mazungumzo yako na bf wa gf wako.nakupa pole lakini ni nafasi nzuri kujifunza,daima mtu mwaminifu na mdhati hupewa anachostahili i mean usijilaumu kwa kumpoteza mpz wako ni kwamba umeepushwa na dhahama,kuwa mpole kaka utampata mwenye busara kama zako na mtulivu wa kweli.usithubutu kumrudia huyo anaye kuchezea mind yako.aweza pata ya kumpata atarudi tena kwako coz anajua utamsamehe.stay away with her upate maisha marefu na be patient bro.
   
 13. d

  debito JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aisee inasikitisha sana,upoamua kumpenda mt halifu unaambulia maumivu,huyo dem hana uhakika na anachokitaka but atajuta
   
 14. d

  debito JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aisee inasikitisha sana,upoamua kumpenda mt halfu unaambulia maumivu,huyo dem hana uhakika na anachokitaka but atajuta.
   
 15. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,019
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kaka, Usiwe na shaka utapata mrembo mwingine. Kilichobaki ni kusonga mbele, na usimuweke kinyongo ex wako, Huyo ipo siku atakuja kukuomba tena msamaha. Jiandae.

  Pole sana.


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 16. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Big up! Umemjibu vyema kabisa...Inaumiza kusalitiwa hivyo lakini mwenyewe umeona she is not worth of even a bit your worry or love!
  Yani she is so low! Hajiamini na anarun parallel relationships, akiumia huku anahamia huku. Well waswahili walisema mshika mawili moja humponyoka na wewe ndo ushamponyoka...Ila huwezi jua kama alikuwa na nyinyi wawili tu ama kuna suprise nyingine.
  A real man is worth a real woman period! hao fake waache waendelee, they deserve each other mwanaume gani unaenda kugombana na mwanaume mwenzio kisa a woman? wakati ni wazi mwanamke anayestahili kupiganiwa sababu haitokua because she has another man!
  Beat Down!

   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wanawake bana,simalizagi kuwashangaa,hata uwafanyie nini wakitaka kukufanza watakufanza tu.
   
 18. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mbona mi na wewe kila siku mapanga shaaa?
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu,kumbuka kila kitu hutokea kwa sababu. hyo hakuwa wako,wako yupo ushapangiwa na Mungu!
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe ulimpataje wengine washindwe? siku zote huwa nauliza hili swali.

  Hakuna mapenzi ya kusasambuliana bila kuoana.

  Kapime na UKIMWI maana kama ulikuwa unaingiliana nae na hamjaoana na ana mwanamme mwingine kwa miaka miwili, kuna uwezekanao mkubwa ana wengine pia. Nyie ndio mnaosambaza hii miwaya.
   
Loading...