Search results

  1. MKILINDI

    Watanzania kwenye matatizo yetu "Serious"

    Watanzania kwenye matatizo yetu serious si tunafanya hiviiiii 1) Huwa hatuwazi matatizo tuliyonayo tunawaza namna ya kuishi nayo. 2) Tunakumbuka maneno ya viongozi wetu nini walituambia. Tunafarijika na maneno yao hata kama kwenye shida ngumu. 3) Tunasubiria maafa ili kila mmoja aokoe nafsi...
  2. MKILINDI

    #COVID19 Serikali bado ina nafasi ya kushawishi Watanzania chanjo ya Corona

    Kwa muelekeo wa ugawaji na uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 Tanzania na malumbano kati ya viongozi wa serikali wenyewe kwa wenyewe kuhusu kuchanja Corona yaonekana wazi kuwa serikali yaweza kushindwa vita hii, kwa kuwa, kwanza ni hiari lakini pia ilishajikwaa mwanzoni kuhusu chanjo hiyo kwa awamu...
  3. MKILINDI

    Tunaona hapa, mabepari wanaona kule

    Watanzania tunafurahika sana na yanayotokea kwenye sakata la madini na makinikia ya mchanga. tena tunafarijika kuona tumemtoa nyoka pangoni kwa kumtoa C.E.O wa barrick, canada na kuja kufanya majadiliano bila kuitwa. Ila inasikitisha sintofahamu ya taarifa ya kukubaliana kulipa baada ya...
  4. MKILINDI

    Undugulization upangaji wa ajira mpya 2017

    Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? Au history, geography ni sayansi? Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts na...
  5. MKILINDI

    MWAKYEMBE UMEKALIA KUTI KAVU.

    Kama Mwakyembe ni kiongozi mwenye tafakuri ya kina atagundua kuwa time-span yake ni fupi katika serikali ya awamu ya tano, nafasi yake ipo mashakani. Hii n kwasababu ya mwenendo wa kisiasa uliomfanya Mh Nape kuondolewa katika nyadhifa yake ya uwaziri katika wizara anayoihudumia sasa Dr...
  6. MKILINDI

    Msaada kwa mwenye tafsiri sahihi ya ili sharti la PSRS

    x.Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.
  7. MKILINDI

    Wazoefu wa Interview tusaidiane kwa hili

    nimeitwa kwny interview kada mbili tofauti katika taasisi moja, muda wa mtihani wa mchujo na mahojiano ni mmoja. Kwa aliyewahi kumtokea hivi au mwenye uzoefu yeyoye kuna possibility ya kufanya interview zote? Au ni lazima ufanye moja nyingne u give up? tusaidiane please...
  8. MKILINDI

    Kama hajafanya mapenzi anavimba maziwa. Ni kweli?.

    Wana jf nna shemeji yangu (msichana wa rafiki yangu) kwa jinsi tulivyozoeana hanifichi kitu..alianza kupatwa na ugonjwa wa kuvimba maziwa akiwa chuoni, wakati yupo mbali na rafiki yangu akaenda hospt vipimo vyote vipo sawa isipokuwa dr alimwambia hormone ndo zinakusumbua..wengine wanampa...
  9. MKILINDI

    Ajira ya hapa ipoje? Institute of adult education

    Wadau kupitia secretariat ya ajira tuliaapy kazi hapa nafasi za tutorial..taasisi ziizotangaza sanjali na hii zishatangazwa usaili kitambo lakini hii haijatoka..nasikilizia nafasi ya tutoria niliyoomba kama kuna mtu naye aliomba na ana taarifa muhimu kama walishaita au sikuwa makini kuliona...
  10. MKILINDI

    Conditional offer ya kusoma uingereza

    Wana jamvi.. Nimemaliza degree ya kwanza mwaka huu udsm, mwezi wa 8 nikajitosa kuomba chuo uk msc project management kwa mwaka wa masomo 2014 sept, wametaka doc zote nimekamilisha, jana wamenitumia email yao ya kunipa nafasi ya kusoma hiyo kozi..( condition offer ) kwa sharti la kufauru ielts...
  11. MKILINDI

    N.g.o ya uplinky ni ya utapeli kwa graduands

    Pamoja na shida tulizonazo watanzania wengine wanatumia oppotunity hiyo kuwatapeli watanzania wanaotafuta kazi. UPLINKY ni moja ya N.G.O inayotumia njia hiyo (shortly ni matapeli) ambao wanadeal na freshers graduant kuwasambaza mikoani kwenda kufundisha kwny mikoa ambayo ina huitaji wa walimu...
  12. MKILINDI

    Ttwb hakuna aliyeajiliwa?

    Jamani wengi tulikuwa na mashaka na project hii hasa kipindi cha mchakato wa kuapply hasa kwa mshahara wao minono walioahidi kwa watakaopata hapo na bonus za kutosha full motisha kwa mwalimu wa kitz....miezi imeenda tupeni feedback waliopata kazi huko au kama kuna jamaa yako amepata huko tujue...
  13. MKILINDI

    Mpenzi wako amekujaa kwabahati mbaya?

    Wana JF, Hivi ni kweli katika hali ya kukua kwako ulishawahi kutamania mke/ mme/ boyfriend au girlfriend wako jinsi unavyotaka awe..? mathalani mrefu kidogo, mweusi ila sio tiiii nk, sasa njoo njoo kwnynreality huyo uliye nae ndie uliyemtazamia na ana sifa utakazo? au amekuja kwa bahati mbaya...
  14. MKILINDI

    Kwa hili adhabu hii irudishwe

    KWA MTU AMBAYE ALIYEKUTWA NA MKASA WA KUATHIRIWA NA NDUGU YAKE KWA MADAWA YA KULEVYA ATAKUBALIANA NAMI KUWA KUNA MANTIKI YA KURUDISHA ADHABU YA KIFO KWA MTU ANYEKAMATWA NA MADAWA TZ. SABABU YA KURUDISHA ADHABU YA KIFO KWA KESI YA MADAWA 1/ MANUFAA NA NGUVU KAZI YA WENGI INAKUFA NA KUPOTEA...
  15. MKILINDI

    Process za scholaship..

    kwa mtu anayefahamu si mbaya kunielekeza process zote zinazotakiwa kufuatwa kwa kupata scholarship nje ya nchi level ya masters.. naamini majibu yatajibu maswali haya; aina za scholaship..? Nawezaje kuomba chuo abroad? Kipi kinatangulia na kipi kinafuata kati ya kuomba scholaship au kuomba...
  16. MKILINDI

    Uhalali wa mambo haya kisheria ni upi?

    Naomba nitoe rai yangu katika jukwaa la sheria kwa kutaka kujua sheria ya tanzania inasemaje kuhusu vyama vya kisiasa kuandaa vijana kwa kuwalinda viongozi wao(kama wao wanavyodai) kwangu mi naita jeshi kama sio vikosi ambavyo naona hatari mbele ya tanzania yetu. Nijuze kuhusu sheria ya tz kwa...
  17. MKILINDI

    Kwenye rasimu ili liangaliwe upya

    nimeisoma na kuielewa vizuri rasimu mpya ya katiba ni nzuri lakini katika hili inabidi tulitazame tena lakini kama haiwezekani iachwe kwa sababu mtoto akilia wembe...... 1. Suala la serikali tatu haliniingii akilini linaweza leta hatari kubwa huko mbele ya safari a/ ni wazi litavunja...
  18. MKILINDI

    Spika wa bunge na uongozaji wa bunge lijalo JMT

    Haya ninayotoa ni mawazo / hoja zangu zangu binafsi kuhusu spika wa bunge na uongozaji wa bunge. Simaanishi kwa mama makinda bali ni uongozi wa jumla na uongozaji na uteuzi wa spika wa bunge. Hoja zangu: 1. Kwa kuwa kazi ya mbunge ni kumuwakilisha mwananchi 2. Na kwa kuwa mbunge umtetea yule...
  19. MKILINDI

    Kwa mtindo huu tz umasikini wa kwetu hadi kifo.

    Napenda kujitokeza tena kushare fikra angavu tena,,, fikiri juu ya chaguzi ndogo zinazochukua picha mpya kila kukicha ambazo ni gharama kuendesha, hivi ni lini tutafanya maendeleo? Fedha nyingi tutumiazo na bado tunaongeza gharama kwa kumtoa mbunge mwingine kwa zongo na kutegemea kufanya...
  20. MKILINDI

    Mfumo mpya (tcu) wa udahili 2012/2013

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UENDESHWAJI WA UDAHILI - ELIMU YA JUU KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (‘Tanzania Commission for Universities’-TCU) ikishirikiana na Baraza laTaifa la Elimu ya Ufundi (‘National Council for Technical Education’ - NACTE) pamoja...
Back
Top Bottom