N.g.o ya uplinky ni ya utapeli kwa graduands

N.g.o ya uplinky ni ya utapeli kwa graduands

MKILINDI

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
988
Reaction score
1,523
Pamoja na shida tulizonazo watanzania wengine wanatumia oppotunity hiyo kuwatapeli watanzania wanaotafuta kazi.
UPLINKY ni moja ya N.G.O inayotumia njia hiyo (shortly ni matapeli) ambao wanadeal na freshers graduant kuwasambaza mikoani kwenda kufundisha kwny mikoa ambayo ina huitaji wa walimu kama lindi, mtwara, serengeti, musoma vijijini, pwani na dar es salaaam..nk ambapo huchukua fedha ya kiingilio 5000 kwa anayehitaji...mtahitishwa vikao vya hapa na pale, tarehe na ahadi za kuanza kazi zisizotekelezeka till manajikuta mmeachwa solemba....
mimi kama mhanga nawaita ni matapeli wa kujiaminisha coz wanashirikisha hadi vyombo vya habari...
tuwe makini.
nawasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom