Watanzania kwenye matatizo yetu "Serious"

MKILINDI

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
386
250
Watanzania kwenye matatizo yetu serious si tunafanya hiviiiii

1) Huwa hatuwazi matatizo tuliyonayo tunawaza namna ya kuishi nayo.

2) Tunakumbuka maneno ya viongozi wetu nini walituambia. Tunafarijika na maneno yao hata kama kwenye shida ngumu.

3) Tunasubiria maafa ili kila mmoja aokoe nafsi yake.

4) Tupo sensitive kwa kila kinachotokea na kufatilia kwa umakini ili kujua dunia inaendaje.

5) Huwa tupo serious na shida za muda mfupi, hatuzipi nafasi hatari za long plan.

6) Kifo hatuogopi kwakuwa si kila nayekufa anakuffa kwa janga au shida tuliyonayo.

7) tunauwezo wa kuelewa na kutunza kumbukumbu hata kama ni mbaya au nzuri.

THREAD TAYARI....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom