Kwa mtindo huu tz umasikini wa kwetu hadi kifo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtindo huu tz umasikini wa kwetu hadi kifo.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MKILINDI, Apr 8, 2012.

 1. MKILINDI

  MKILINDI JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Napenda kujitokeza tena kushare fikra angavu tena,,,

  fikiri juu ya chaguzi ndogo zinazochukua picha mpya kila kukicha ambazo ni gharama kuendesha, hivi

  ni lini tutafanya maendeleo? Fedha nyingi tutumiazo na bado tunaongeza gharama kwa kumtoa mbunge

  mwingine kwa zongo na kutegemea kufanya mabadiliko katika sehemu ambayo mlishashindwa

  mwanzoni. Bado sensa inakuja kitu ambacho ni common kwa maendeleo.

  Hivi sisi ni lini tutatatua matatizo ya jamii ambayo ni msingi?
   
 2. K

  Kwitu Kumpepo Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gharama za maisha zinapanda hali pato likiwa duni, huduma muhimu za jamii (Elimu & Afya) zinadorora, kilimo nacho kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia Nhi, madai ya walimu na mishahara midogo limekua wimbo uliozoeleka masikioni mwa viongozi, UFISADI sugu, na hili la CHAGUZI ndogo ndogo tenaaaa! Duh!....... Ninaafiki kuwa WATANZANIA & UMASIKINI NI MWILI MMOJA
   
 3. somba kankara

  somba kankara Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TANZANIA NI NCHI TAJIRI Lakini watu wake ndio masikini ninamaana kuwa watanzania hatujaamka kudai UTAJIRI WETU kuna watu wachache wanaitumia vibaya mali ya watanzania[ mikataba feki/ufisadi/malipo hewa/na mngine mengi ]ambayo yanasababisha tuitwe maskini Sinashaka kama tukibadilishana na nchi kama BURUNDI baada ya mwaka mmoja tutaamini kuwa tanzania ni nchi tajili sana.
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Watanzania wakiamua umaskini utakua historia, CDM ndo chama Pekee cha kutuondolea umaskini, wana viongozi makini, wanavijana wenye kiu ya kweli ya kuondoa umaskini,
   
 5. d

  deus byera New Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msituzingue ccm tumewachoka mnajifanya mmesoma nchemba acha upuuzi wewe nchi hii si ya babako
   
Loading...