Undugulization upangaji wa ajira mpya 2017

MKILINDI

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
770
1,067
upload_2017-4-15_12-19-26.png

Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? Au history, geography ni sayansi?

Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts na biashara? Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwenye majina 3000 hayataonekana?

Sitaki kuamini, kuwa walikosea kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili lakini hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.

Sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. Serilkali ni yetu sote.
Simbachawene au Kairuki unatuambia imekuaje hapo?
 
Mbona umerukia kukonclude...ni vizuri kutafiti kwanza what happened..
 
View attachment 496344

Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? au history, geography ni sayansi?
Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts NA biashara?.
Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwny majina 3000 hayataonekana?

sitaki kuamini, kuwa walikosea. kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili. lakin hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi. na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.

sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. serilkali ni yetu sote.
simbachawene au kairuki utuambia imekuaje hapoooo?
Hii Ni aibu. Hivi JPM Na ukali wake wote Watu bado wanafanya magumashi? Kweli wabongo noma. ukute kuna na vyeti hewa Hapo
 
View attachment 496344

Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? au history, geography ni sayansi?
Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts NA biashara?.
Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwny majina 3000 hayataonekana?

sitaki kuamini, kuwa walikosea. kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili. lakin hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi. na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.

sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. serilkali ni yetu sote.
simbachawene au kairuki utuambia imekuaje hapoooo?
ushawachomea utambi
 
Kumbuka ile shule ya umoja wa wazazi Bukoba ambayo katika ziara ya mh raisi mkoni kagera aliomba shule hiyo iwe ya umma na walimu wake hapo wapewe ajira serikalini, kwaiyo hakuna ajabu ndio hivyo kwaiyo punguza mawazo
 
Hiyo shule ya umumwni imechukuliwa n serikali mwaka huu. Rais alitoa agizo walimu waliokua wanafundisha hapo ikiwa private waajiliwe na serikali. Kuna uwezekano mkubwa hao wakawa wale waliokua umumwani ambao mh rais aliagiza waajiliwe.
 
Hao wamepewa kazi kihalali!
Kama unakumbuka,hio shule ya OMWAMI ilikuwa ya Chama Tawala,na baada ya Mhe Rais kuitaifisha,walimu waliobakia hapo waliahidiwa ajira!
 
Nakuhakishia huo ni msala...time will tell. Vibarua vitaota mbawa. Hapo...
 
Hao wamepewa kazi kihalali!
Kama unakumbuka,hio shule ya OMWAMI ilikuwa ya Chama Tawala,na baada ya Mhe Rais kuitaifisha,walimu waliobakia hapo waliahidiwa ajira!
kwa misingi hiyo walimu shule hiyo itafundishwa hiyo majina machache yaliyotoka? fikiri vizuri nani amekosea aliyetangaza majina ya walimuwa sayansi au niliyeshangazwa na majina ya arts kuyaona kwnye post za ajira ya sayansi?
 
Back
Top Bottom