MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 988
- 1,523
nimeitwa kwny interview kada mbili tofauti katika taasisi moja, muda wa mtihani wa mchujo na mahojiano ni mmoja. Kwa aliyewahi kumtokea hivi au mwenye uzoefu yeyoye kuna possibility ya kufanya interview zote? Au ni lazima ufanye moja nyingne u give up?
tusaidiane please...
tusaidiane please...