Search results

  1. K

    Kwa haya mkurugenzi wa wilaya Uyui unahusika

    Gharama za maisha zimepanda ujue mkuu
  2. K

    Kwa haya mkurugenzi wa wilaya Uyui unahusika

    Mbona kuna vitu vimeandikwa lkn ww umeona sketi fupi 2
  3. K

    Kwa haya mkurugenzi wa wilaya Uyui unahusika

    Kobazi utawajua tuuu
  4. K

    Kwa haya mkurugenzi wa wilaya Uyui unahusika

    Ahsante mkurugenzi wa wilaya Uyui kwa kutuletea mkuu mpya kutoka shule X ukamleta shule Y,lakini mkuu Huyu amekuwa na matatizo lukuki kuanzia utendaji wake mpaka mwenendo wake. Huyu alitolewa X baada ya kusababisha matatizo makubwa kipindi Cha usimamizi wa mtihani. Kashfa kubwa...
  5. K

    Shule za sekondari wilaya Uyui upande wa ulyankuru tabora Kuna shida kubwa

    Shule zilizipo tabora wilaya Uyui Zina shida kubwa sanaya kiongozi kutokana walipoewa uongozi kutokuwajibika jinsi inavyotakiwa, Kuna shule za upande wa uelekeo wa ulyankuru Kuna shida kubwa sana kitaaluma na za kiongozi Kuna wakuu wa shule wapya wanawake wamehongwa nafasi za ukuuu wa...
  6. K

    DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Ni hatari sana lkn tuache
  7. K

    DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Kaka unataka evidence nenda kwenye maaabala nyingi hazikumailiziwa waliweka majengo tuuu halafu Sasa hivi wamepewa Hela za kumailzia ila kazi zinafanyika chini ya kiwango mainjinia hawaji saiti wanapelekewa bahasha uko waliopo.
  8. K

    DOKEZO TANESCO inakata Tsh 6,000 kila ukinunua umeme mwisho wa mwezi

    Tanzania Nchi yangu ukikaaa huku tanesco ukikaaa kule Vodacom ukiacha Salio kwenye cm imepitiwa yote wanakuunganisha na mahuduma usiyoyaitaji
  9. K

    DOKEZO TANESCO inakata Tsh 6,000 kila ukinunua umeme mwisho wa mwezi

    TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake? Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
  10. K

    DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Nimekusoma lkn rushwa ndo zinasababisha tupate watu wasio na sifa
  11. K

    DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Usijaji mtu mkuuu, jaji hoja pesa zinaliwa miradi mingo ya wilaya ya Uyui haikamiliki kutokana na tamaaa za watendaji wake
  12. K

    DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu, majengo menyewe hajakamilika ila imebidi wafanyakazi wahamie kabla ujenzi haujakamilika kwa sababu...
Back
Top Bottom