Kwa haya mkurugenzi wa wilaya Uyui unahusika

kasumbiresa

Member
May 25, 2023
18
4
Ahsante mkurugenzi wa wilaya Uyui kwa kutuletea mkuu mpya kutoka shule X ukamleta shule Y,lakini mkuu Huyu amekuwa na matatizo lukuki kuanzia utendaji wake mpaka mwenendo wake. Huyu alitolewa X baada ya kusababisha matatizo makubwa kipindi Cha usimamizi wa mtihani.

Kashfa kubwa iliomtoa shule X kumpeleka shule y ni tamaaa ya pesa.Hataki pesa impite Kila pesa ni yake mtu Huyu alimishiwa Shule Y barabara ya ulyankuru. Kwa muda mchache aliehamishiwa wazazi tumebaini yafuatayo.

1.Amesababisha wanafunzi wengi wa kike kuacha shule kwani analazimisha wanafunzi wa kike wave sketi ndefu ambapo wazazi wengi hatuna uwezo wa kuwabadilishia sketi katikati ya mwaka, hivyo kusababisha wanafunzi wetu wetngi kuacha shule.wakati serikali inapambana kurudisha watoto wa kike shule yeye anapambana waondoke shule anadai wanamletea daraja sifuri

2.kufukuza wanafunzi Kila siku amekuwa anafukuza wanafunzi shuleni hapa na mtoto wangu ni miongoni waliofukuzwa na yeye.Anadai anataka kupunguza ziro , kwa hiyo wale wanafunzi wenye ufaulu wa chini akifanya kosa tuuu anamuundia zengwe anamfukuza shule wapo wanafunzi wengi ambao wamekutana na mkono wake wa chuma. Lengo kufukuza wanafunzi kupunguza zero katika shule yake ili iwe nafasi za juu.Wakati Mhe:Raise Samia Suluhu hasani anajenga madarasa mengi ili wanafunzi wengi wasome yeye yuko bize kufukuza wanafunzi ili shule ibaki na wanafunzi wachache Lengo ikiwa ni kushika nafasi za juuu kimkoa na kiwilaya ili awe Afisa elimu kama alivyoaidiwa na mkurugenzi.

3.3.Walimu wake wanaongoza kwa kupiga viboko, kuna mwanafuzi kachapwa viboko zaidi ya ishiri kwa kosa la kutokufika shule kwa siku kadhaaa.Yeye hakemei anadai wanafunzi watoto Bora waache shule kwani hizo ni zero.

4.Pia ni mdini sana ameshawagawa wafanyakazi ambao anafanya nao kazi kwa itikadi za dini yake ndio maana analazimisha watoto wakike wave masketi marefu huyu anafaaa kuongoza shule za Imani yake.

Kwa heshima na taadhima hebu tuondoleeni huyu mtu na tunasubiri kikao Cha wazazi.Onyo sisi kama wazazi tumechoka na wanafunzi wetu kurudishwa nyumbani, Wazazi tunashughuli za kijitafutia kipato Sasa Kila siku ikiwa wito wa wa kufika shuleni hii ni hatari, lakini pia ni mshirikina sana.

Taarifa zake zimeshafika mpaka tamisemi wizara ya elimu ila kwa kuwa mkurugenzi ananufaika naye basi ameamua kumuacha aendeleee kunyanyasa wanafunzi wetu kama hatua hazitochukuliwa kuna basi sisi wazazi tutaendelea kumuangalia kwa jicho la pekeeee.
 
Ahsante mkurugenzi wa wilaya Uyui kwa kutuletea mkuu mpya kutoka shule X ukamleta shule Y,lakini mkuu Huyu amekuwa na matatizo lukuki kuanzia utendaji wake mpaka mwenendo wake. Huyu alitolewa X baada ya kusababisha matatizo makubwa kipindi Cha usimamizi wa mtihani. Kashfa kubwa iliomtoa shule X kumpeleka shule y ni tamaaa ya pesa.Hataki pesa impite Kila pesa ni yake mtu Huyu alimishiwa Shule Y barabara ya ulyankuru. Kwa muda mchache aliehamishiwa wazazi tumebaini yafuatayo. 1.Amesababisha wanafunzi wengi wa kike kuacha shule kwani analazimisha wanafunzi wa kike wave sketi ndefu ambapo wazazi wengi hatuna uwezo wa kuwabadilishia sketi katikati ya mwaka, hivyo kusababisha wanafunzi wetu wetngi kuacha shule.wakati serikali inapambana kurudisha watoto wa kike shule yeye anapambana waondoke shule anadai wanamletea daraja sifuri 2.kufukuza wanafunzi Kila siku amekuwa anafukuza wanafunzi shuleni hapa na mtoto wangu ni miongoni waliofukuzwa na yeye.Anadai anataka kupunguza ziro , kwa hiyo wale wanafunzi wenye ufaulu wa chini akifanya kosa tuuu anamuundia zengwe anamfukuza shule wapo wanafunzi wengi ambao wamekutana na mkono wake wa chuma. Lengo kufukuza wanafunzi kupunguza zero katika shule yake ili iwe nafasi za juu.Wakati Mhe:Raise Samia Suluhu hasani anajenga madarasa mengi ili wanafunzi wengi wasome yeye yuko bize kufukuza wanafunzi ili shule ibaki na wanafunzi wachache Lengo ikiwa ni kushika nafasi za juuu kimkoa na kiwilaya ili awe Afisa elimu kama alivyoaidiwa na mkurugenzi. 3.3.Walimu wake wanaongoza kwa kupiga viboko, kuna mwanafuzi kachapwa viboko zaidi ya ishiri kwa kosa la kutokufika shule kwa siku kadhaaa.Yeye hakemei anadai wanafunzi watoto Bora waache shule kwani hizo ni zero. 4.Pia ni mdini sana ameshawagawa wafanyakazi ambao anafanya nao kazi kwa itikadi za dini yake ndio maana analazimisha watoto wakike wave masketi marefu huyu anafaaa kuongoza shule za Imani yake. Kwa heshima na taadhima hebu tuondoleeni huyu mtu na tunasubiri kikao Cha wazazi.Onyo sisi kama wazazi tumechoka na wanafunzi wetu kurudishwa nyumbani, Wazazi tunashughuli za kijitafutia kipato Sasa Kila siku ikiwa wito wa wa kufika shuleni hii ni hatari, lakini pia ni mshirikina sana. Taarifa zake zimeshafika mpaka tamisemi wizara ya elimu ila kwa kuwa mkurugenzi ananufaika naye basi ameamua kumuacha aendeleee kunyanyasa wanafunzi wetu kama hatua hazitochukuliwa kuna basi sisi wazazi tutaendelea kumuangalia kwa jicho la pekeeee.
Kwa hiyo tatizo lenu ni sketi ndefu au siyo?

Mnataka visketi vifupi, kwani hao wanafunzi wanakwenda kufanya biashara ya kuuza miili yao au wanakwenda kusoma?

Wafunzeni maadili, bila maadilimtegemee mayai tu.
 
Mtoa mada samahani una umri gani ? Wewe ni mtanzania? Samahani kwa maswali haya, mbona swala la kuvaa sketi ndefu kwa wanafunzi ni la siku nyingi au huko walikuwa bado? Mbona ulichoandika na kulalamika inaonekana mkuu wa shule yupo kwenye haki au mwanao ndio zero brain 🧠?
 
Mbona kuna vitu vimeandikwa lkn ww umeona sketi fupi 2
 
Kwa hiyo tatizo lenu ni sketi ndefu au siyo?

Mnataka visketi vifupi, kwani hao wanafunzi wanakwenda kufanya biashara ya kuuza miili yao au wanakwenda kusoma?

Wafunzeni maadili, bila maadilimtegemee mayai tu.
Wapelekee basi
 
Mbona kuna vitu vimeandikwa lkn ww umeona sketi fupi 2
Humu jamii forum unapoleta mada za malalamiko hakikisha hakuna kitu unaficha kwanza mtaje huyo mwalimu jina sahihi na sema shule alizopita tofauti na hapo ni uchonganishi tu
 
Ahsante mkurugenzi wa wilaya Uyui kwa kutuletea mkuu mpya kutoka shule X ukamleta shule Y,lakini mkuu Huyu amekuwa na matatizo lukuki kuanzia utendaji wake mpaka mwenendo wake. Huyu alitolewa X baada ya kusababisha matatizo makubwa kipindi Cha usimamizi wa mtihani. Kashfa kubwa iliomtoa shule X kumpeleka shule y ni tamaaa ya pesa.Hataki pesa impite Kila pesa ni yake mtu Huyu alimishiwa Shule Y barabara ya ulyankuru. Kwa muda mchache aliehamishiwa wazazi tumebaini yafuatayo. 1.Amesababisha wanafunzi wengi wa kike kuacha shule kwani analazimisha wanafunzi wa kike wave sketi ndefu ambapo wazazi wengi hatuna uwezo wa kuwabadilishia sketi katikati ya mwaka, hivyo kusababisha wanafunzi wetu wetngi kuacha shule.wakati serikali inapambana kurudisha watoto wa kike shule yeye anapambana waondoke shule anadai wanamletea daraja sifuri 2.kufukuza wanafunzi Kila siku amekuwa anafukuza wanafunzi shuleni hapa na mtoto wangu ni miongoni waliofukuzwa na yeye.Anadai anataka kupunguza ziro , kwa hiyo wale wanafunzi wenye ufaulu wa chini akifanya kosa tuuu anamuundia zengwe anamfukuza shule wapo wanafunzi wengi ambao wamekutana na mkono wake wa chuma. Lengo kufukuza wanafunzi kupunguza zero katika shule yake ili iwe nafasi za juu.Wakati Mhe:Raise Samia Suluhu hasani anajenga madarasa mengi ili wanafunzi wengi wasome yeye yuko bize kufukuza wanafunzi ili shule ibaki na wanafunzi wachache Lengo ikiwa ni kushika nafasi za juuu kimkoa na kiwilaya ili awe Afisa elimu kama alivyoaidiwa na mkurugenzi. 3.3.Walimu wake wanaongoza kwa kupiga viboko, kuna mwanafuzi kachapwa viboko zaidi ya ishiri kwa kosa la kutokufika shule kwa siku kadhaaa.Yeye hakemei anadai wanafunzi watoto Bora waache shule kwani hizo ni zero. 4.Pia ni mdini sana ameshawagawa wafanyakazi ambao anafanya nao kazi kwa itikadi za dini yake ndio maana analazimisha watoto wakike wave masketi marefu huyu anafaaa kuongoza shule za Imani yake. Kwa heshima na taadhima hebu tuondoleeni huyu mtu na tunasubiri kikao Cha wazazi.Onyo sisi kama wazazi tumechoka na wanafunzi wetu kurudishwa nyumbani, Wazazi tunashughuli za kijitafutia kipato Sasa Kila siku ikiwa wito wa wa kufika shuleni hii ni hatari, lakini pia ni mshirikina sana. Taarifa zake zimeshafika mpaka tamisemi wizara ya elimu ila kwa kuwa mkurugenzi ananufaika naye basi ameamua kumuacha aendeleee kunyanyasa wanafunzi wetu kama hatua hazitochukuliwa kuna basi sisi wazazi tutaendelea kumuangalia kwa jicho la pekeeee.
Kumbe mtoto wako naye hana akili kama baba yake?

Kama ana uhakika wa kupata Ziro kwanini asifukuzwe?
 
Mpwayungu Village njoo umpe vidonge huyu Mwalimu, hamtaki mkuu wake wa shule🤣

Ila Mwalimu tafuta shughuli ya ziada ya kukuweka busy Ili uache kumfatilia mkuu wako
 
Back
Top Bottom