kasumbiresa
Member
- May 25, 2023
- 18
- 4
- Thread starter
- #21
Ni hatari sana lkn tuacheuko seroius? Tukuulize we ni mtanzania?
Ni hatari sana lkn tuacheuko seroius? Tukuulize we ni mtanzania?
Siasa,ni sawa na wilaya ya Mvomelo tiSema uyui ni pahovyo sana sijui walizingatia nini kuwapa wilaya
Huyu ni paschal au account imedukuliwa 😅😅😅Kama mtu kitu ni chake, na wahitaji wapo, hakuna ubaya wowote kugawa sana!.
Ni mimi Paskali mwenyewe, ni mtetezi mkubwa wa hawa dada zetu, kutumia kitu walichonacho Mungu alichowajalia, kuboresha maisha yao Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana! mimi ni mdau mkubwa wa huduma hizo kwanza kwa kutazama tuu kwa macho Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!. ila pia mimi ni mlaji mzuri wa vyakula hivyo Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?Huyu ni paschal au account imedukuliwa 😅😅😅
Ndio sipajuiuko seroius? Tukuulize we ni mtanzania?