Search results

  1. M

    Mwanamke kubeba vitu vyote vya ndani kwa mwanaume

    Habarini wana Jamii Forums! Kwa wanao fahamu maisha ya Dar ... kumkutaa mwanamke mwenye mtoto stendi pamoja na mabegi yake na hana pa kwenda ni jambo la kawaida! Kuna mwamba hapa alitokea zake kwenye mizunguko akafika rangi tatu pale ( mbagala zakiem ) kutokana na uhaba wa usafiri hasa kwa...
  2. M

    Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

    Hello brother! Usijee ukarudia kusema yule jamaa kauwawa ! Hawa jamaa wameona wananchii wameshtukia mchezo sasa wanataka kupiga shoka kwenye mzizi ! Epukaa sana
  3. M

    Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

    Ww tunakujua ni TISS unaleta madaa za kushobokaa mwisho wa siku tukichangia mnakuja kutubeba usiku na Noah nyeusi na kututupa kwenye viroba kule mbezi ... Hakuna watu wanafki kama nyie mbwa
  4. M

    Hii ni kwa wale wasioamini ushirikina, naombeni mnipe sababu za kisayansi kwenye mkasa huu

    Hii ni uzushii ! Kungekuwa na ushirikina basi mtume Muhammad leo hii angekuwa anawatokea wafuasi wake kuwapaa siri ya mafanikio !
  5. M

    Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Mkuu hiyo hela ya kuja mbagala bora uitumie kununua nyama robo ule ! Maana mbagala shidaa kuu usafiri hata yakija hayo ma mwendo kasii kushikaa bomba itakuwa kawaidaa sana ! Alfu kingine kule foleni uhakika maana madereva wengi ni dishiii na magari yao ya kukokotaa hayachelewi kuzima au...
  6. M

    Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    😂😂😂 mkuu naona unatetea masilahi ya nyumbani ! Mbagala changamoto yake ni usafiri ! Iwe mwendo kasi au isiwe bado usafiri ni wa kugombania !
  7. M

    Naomba Msaada wa kujua Brand bora ya TV ya kununua kwa sasa

    😂😂😂 yale yale nimetokaa kuongea hapa ! Ww ungekuwa na hela hiyo tv wala usingekuja hapa kuulizia ni wapi utaenda kutengeneza maana sehem ni nyingi ila garamaa ndo itakutoa ushuzii... hao wanaokuambia kariako usifikiri ukija huku ni mteremko... watu wanafanya kazi kwa kujuana ... fundi anaweza...
  8. M

    Hii ni kawaida au??

    Kwa post hii kweli ww bado mtoto mdogo! Bado akili haijatulia ! Pili una imani potovuu, kuumwa kwako usimsingizie dada wa watu maana akijua fikra zako ndo kama hizi dakika chachee tuu ushapigwa kipapai alafu uje kusema mapenzi hamna wanawake hamna wakati ni ujinga wako tuu mwenywe
  9. M

    Naomba Msaada wa kujua Brand bora ya TV ya kununua kwa sasa

    Unajua sisi watanzania tunapenda sana kuiga maisha binafsi tv bora ni tv yenye kuendana na kipato na maisha yako ki ujumla ... sasa unakuta mtu anakuambia ujipindee uchukue LG au Samsung au Sony wakati kwenye maintenance itakutoa ushuzii... Nikizungumzia maintenance nazungumzia tatizo ambalo...
  10. M

    Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

    Kisomo cha Ahlul Badri inapatikana wapi ??? Uislamu au kwa wenzetu wakristo ! Tukubali ukweli kitabu cha Quran ukisoma in deep na kufuata mambo mengi lazma utaonekana mchawiii 💔
  11. M

    Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

    Ndio waulizee ma sheikh kama hivo vitu havipo kwenye kitabu ??? Kiufupi kile kitabuu kione vile vile
  12. M

    Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

    - Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana. - Kwanza nimegundua kuwa ule msemo wa Adui mkubwa wa umasikini ni Elimu ni kweli kabisaa na hii ni...
  13. M

    Baada ya miaka kadhaa ya ndoa, nimegundua watoto wote si wangu

    Mwanachama #002 Shangazi Lisa Naomba unipostie ID yang ficha! Shangazi amini dunia hii ina mambo mengi, changamoto za ndoa hazifanani ,yakwangu imenijia vibaya! Sijajipanga kwa hili kabisa! Na hapa najuta kwanini nilioa! Shangazi natoa mkasaa wangu nivumilie 2 maana ni aibu sana...
  14. M

    Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    Sawa! Mwanamke akiandaliwa vizur hakuna mchibuko! Acha aibu kaka mbn unajitoa samani
  15. M

    Kuvunjika kwa uchumba

    Mjanja kapendwa
  16. M

    Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    Mwanachama #001 Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa. Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui. mwanzoni mimi nilidhania alijua.maana nilihisi nilipata kwake...
Back
Top Bottom