Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

Jul 22, 2021
6
45
Mwanachama #001

Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.

Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui.

mwanzoni mimi nilidhania alijua.maana nilihisi nilipata kwake... Nilikutana naye 2016, kisha nikabainika kuwa na VVU wakati nilienda klinic kwa mara ya kwanza kumpata mtoto wetu wa kwanza.

Sasa wakati wa ujauzito nilikuwa nimeharibiwa kifikra nanilivunjika sana moyo! sikuweza kumwambia sababu nilifikiri nimepata kutoka kwake! Nikawa nasema labda alikuwa akificha kuhofia tungeachana!

Niliamua kumezaa mate machungu na niliamua kuficha siri yangu pia mpaka sisi wote tujee kubumiana juu ya hali zetu yetu
Nilipewa matibabu ya VVU kwa hivyo mtoto wangu alitoka negative bila maambukizo ni bahati nzuri damu yangu ilikua na idadi ndogo ya virusi!

Nilificha siri maana nilimpenda sana mwanaume wangu na sipotayari kuachana nae hivo Tuliendelea kupata mtoto mwingine ...sikumwambia hali yangu.

hivi majuzi nilikuja kujua hana VVU maana tulienda hospitalini pamoja sababu mtoto wetu yule wakwanza alikuwa akiumwa! Na hospitali zetu za serikali basi wakiona hawakuelewi lazma wakushawishii ufanyiwe kipimo...pale mm nilijua ni siku yetu ya kugunduana!

Majibu yalikuja na kuonesha yeye na mtoto hawana maambukizi mm majibu yangu ndo yalikuja tofauti lakini pale pale tuliambia wote hatuna... ila nimshukuru muuguzi maana alificha ukweli kwanza na kuniita pembeni kuniuliza maswali mengi! Nilihisi kujinyea na kujikojolea maana ndoa yangu ipo matatani!

tangu siku hiyo sijawa na Amani... Najua wengine humu wanavyo hivyo najua mnaelewa jinsi inavokatisha tamaa kuambiwa utaishi kupitia vidonge na vidonge vimekua sehemu ya maisha yangu.

Kwa kweli ninajisikia mwenye hatia sana, na siwezi kusema yeye ndo sababu , nashindwa kumwambia maana itakuwa ndo mwisho wa ndoa yangu na furaha yangu!

Naogopa ataninyanyapaa! Naogoapa anaweza kunizuia kuwaona watoto wangu pia. Ninaogopa sana, niamini niliishi ujana mzuri kabla ya ndoa cjadanga danga wala sikua na hulka ya kubadilisha mashinee tofauti zinazoingia kwenye k*m* yangu

sijui walaii nimepataje virusi hivi, nimekuwa nikificha kwa miaka minne sasa ,nilidhani alikuwa akificha yake pia kumbe maskini nilimshuku buree mume wangu

Hapa natamani niigee mbinu za wahehe kujinyongea mbali maana ni aibu aibu ...yaani yule mume wangu ananipenda sana, atakuwa amevunjika sana moyo akigundua nina VVU.

Mimi nahisi nishakua wa hovyoo , hofu ya kuachika ipo kichwani sanaa... nataka kuishi ndoa yangu, lakini nitatumia kosa gani kuishi. Nikisema niliteleza nitaonekana malaya! Jaman naandika nikilia 😭😭

Nitavumilia kwa muda gani kuishi maisha bandia maana hapa naigizaa tu! Siri iliyopo moyoni inanikondesha zaidi ya ugonjwa wenywe! Siwezi hata kumtazama mume wangu au kwenda karibu na yeye sababu ninaogopa kumuambukiza, yeye ni mtu mzuri sana hastahili hii. Infact nataka kufa, sababu sitaki kumletea huyu mwanaume majanga! Laiti ingekua inatibika lakin kwa hili ni mpaka kaburini nahofia na sitaki...huwa sipo huru sanaa anaponikunja kunja kitandani, hua nalia sana ila yeye anajua nanogewa ila mm najua nakosea na sitaki ndoa yangu ivunjike

Ntamiss sana mapigo yake staki aniachee! Cjui ntadanganya kwa staili gani... Maisha ndani ya vvu asikudanganye mtu... Ni mabaya sana sana.

Naombeni ushauri... Mapovu Ruksa
 
Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,147
2,000

Mimi nahisi nishakua wa hovyoo , hofu ya kuachika ipo kichwani sanaa... nataka kuishi ndoa yangu, lakini nitatumia kosa gani kuishi. Nikisema niliteleza nitaonekana malaya! Jaman naandika nikilia

Nitavumilia kwa muda gani kuishi maisha bandia maana hapa naigizaa tu! Siri iliyopo moyoni inanikondesha zaidi ya ugonjwa wenywe! Siwezi hata kumtazama mume wangu au kwenda karibu na yeye sababu ninaogopa kumuambukiza, yeye ni mtu mzuri sana hastahili hii. Infact nataka kufa, sababu sitaki kumletea huyu mwanaume majanga! Laiti ingekua inatibika lakin kwa hili ni mpaka kaburini nahofia na sitaki...huwa sipo huru sanaa anaponikunja kunja kitandani, hua nalia sana ila yeye anajua nanogewa ila mm najua nakosea na sitaki ndoa yangu ivunjike

Ntamiss sana mapigo yake staki aniachee! Cjui ntadanganya kwa staili gani... Maisha ndani ya vvu asikudanganye mtu... Ni mabaya sana sana.

Naombeni ushauri... Mapovu Ruksa
Hapo ushauri wangu singizia kuwa imeongezewa damu wakati wa ujauzito au kujifungua ndo sababu ya kupata. Na hapa inabiidi jifanye unaumwa sana ili ulazwe. Au kama sivyo nitafute inbox
 
Oswald Daudi Mwakibete

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,325

Watafute wazee wa dini au wanasailojia watakusaidia kuyaweka sawa.
 
Dive

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
677
1,000
Hapo ushauri wangu singizia kuwa imeongezewa damu wakati wa ujauzito au kujifungua ndo sababu ya kupata. Na hapa inabiidi jifanye unaumwa sana ili ulazwe. Au kama sivyo nitafute inbox
Kupretend hivyo ni ngumu sijui and afanyeje iwe genuine maneno yanaweza kukubaliwa ila kuwana sense ya kuonekana genuine sasa.Halafu akishare na wengi siri itakuja kuwekwa wazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom