Search results

  1. robinson crusoe

    HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

    Muulize hao vijana wametoka chuo gani? Siyo elimu kuwa sijui nini, ni suala la vyuo kuchipuka bila viwango. Lakini huyo HR mwenyewe ana uelewa gani? Tusijekuiwa tunajadili maoni ya kiwango hovyo. Siyo wmmoja wa wale wa Mzumbe? alikosoma na fulani fulani?
  2. robinson crusoe

    Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
  3. robinson crusoe

    DOKEZO UBORA WA ELIMU inayotolewa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) unatia shaka

    Naomba niwatolee uvivu hawa maprofesa mshenzi wa nchi hii. Nawaita mshenzi kwa sababu wamepoteza vichwa vya kufikiri. Tatizo la hizi wizara, unakuta waziri anahangaika kuzima matatizo ndani ya wizara yake yasifike kwa aliyewateua. Unakuta badala ta kuwasimamia waharibifu wa elimu, anaanza...
  4. robinson crusoe

    UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Another rubbish! Umeulizwa nini malengo yake kuanzisha kampasi mpya wakati ana majengo ambayo hayana wanafunzi? Wewe unaishia kusimulia hadithi za mtandaoni na kusema wenzetu. Nigeria ni wenzako? Wenzako ya nyoko! Unahesabu idadi ya vyuo vya Nigeria unasema ni wenzako. Mwambieni aache ukabila...
  5. robinson crusoe

    'Vitoto' vya wanasiasa vinaingizwa ktk siasa, eti wengine waende kujifunza kilimo Israel!

    Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea ili vishinde. Wakati huo huo wengine wanaambiwa kuna fursa Israel, pamoja na hatari ya vita. Matatizo...
  6. robinson crusoe

    Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Ukiangalia historia ya serikali hii, haijawahi kusema ukweli kwa jambo lolote. Unaambiwa mazingira Ngorongoro, kumbe Mwarabu kanunua na kuwapa chochote wahusika. Unaambiwa wasaidieni wahanga wa tetemeko la ardhi kumbe wanajengea miundombinu ya serikali. Unaabiwa VP yuko na kazi maalumu kumbe...
  7. robinson crusoe

    UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Naamini unaunga mkono kiukabila. HUwezi kuona mtu anapoteza pesa za chuo bila sababu. Sababu ya kampasi mpya ni nini? UDOM imefikia kiwango chake cha udahili? Mtu hajafikisha mal;engo ya chuo anachokiongoza, anaanzisha kampasi mpya. Yaani kila sehemu kuwe na majengo yasiyo na wanafunzi...
  8. robinson crusoe

    UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Yaani ka-mkoa kenye watu laki 8! Kamkoa kasikokuwa na wasomi! Mwanafunzi atakayekwenda kusoma huko anatafuta kulogwa tu! Mikoa ya Kigoma, Shinyanga, Lindi na Mtwara inastahili heshima hiyo kwa wingi wa watu. Hope Njombe ni bonge ya ukabila. VC Kusiluka anatoka Njombe Katibu mkuu kionmgozi...
  9. robinson crusoe

    Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

    Baadhi ya thrd munazileta ili kutuharibia afya yetu. Ukisikiliza vituko vya serikali hizi, unaweza kutapika. Rais anakwenda kutafuta biashara binafsi kwa kutumia pesa za serikali, anapongezwa kwa safari ya Dubai. Marais wengine wanatoa hotuba na kuondoka, yeye anabaki utadhani ana umuhimu kuliko...
  10. robinson crusoe

    UZUSHI Ujenzi wa kiwanda kipya ya Tumbaku Morogoro unafanyika kwenye eneo la wazi kinyume cha Sheria

    Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku. Eneo hili...
  11. robinson crusoe

    Nani mmiliki wa kiwanda kipya cha Tumbaku ndani ya eneo la wazi Morogoro?

    Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku. Eneo hili...
  12. robinson crusoe

    Mtifuano kati ya Maria Sarungi na Martin Maranja unatufundisha CHADEMA na wanaharakati wanaandaa watu wenye akili timamu

    Vitabu feki tu! Nilikata tamaa nilipoona Mkitabu cha MWinyi kinashindwa kueleza kitendo chake cha kwenda Uwanja wa Taifa kucheza mziki wa Kanda Bongo Man, wakati Madaktari wamegoma, nikajua wanatuandikia wanayotaka ili watukuzwe.
  13. robinson crusoe

    Ukweli mchungu: Bandari ya Dar es Salaam inahitaji mwekezaji haraka

    Tatizo ni mama wa kiislamu, aliye na elimu Akhela bila elimu Dunia ya kutosha. Bado anaamini Uarabu ni dili!
  14. robinson crusoe

    Ukweli mchungu: Bandari ya Dar es Salaam inahitaji mwekezaji haraka

    Vipi Rostam, Hujambo? Safari ya Uarabuni imezaa nini? Kabla ya Bandari, tunahitaji mwekezaji Ikulu na Bunge. Sioni kama vyombo hivi vinaendeshwa vizuri. Gharama kubwa ya maisha; mafuta bei juu, tozo, kura za ndiyo Bungeni, Spika sura mbaya, n.k. Kwa ujumla tuanze na vyombo hivi muhimu mengine...
  15. robinson crusoe

    Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

    Hawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao! Tukubali kwamba kwa wakati huu Slaa anasema yanayoeleweka kwa wananchi; awe ni kibaka, mwizi, gaidi, muongo, n.k...
  16. robinson crusoe

    Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

    Nawe unajisema tuuu! Kwani hata historia inayohitaji kumbukumbu ni ngumu kuielewa? Slaa Aliteuliwa ubalozi tokea CHADEMA? Tusilazimishe uelewa wenu mdogo. Kinachowasumbua wengi hapa hata siyo Mbowe au CHADEMA, ni kutaka kuondoa uaminifu wa Slaa ili yote aliyoyasema kuhusu Bandari ionekane ni...
  17. robinson crusoe

    Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

    Kwani samia anaaminika? Pamoja na kiapo cha kuilinda katiba, imekuwaje akawa mtu wa kuuza bandari. Imekuwaje awe mtu wa kuishi arabuni? Kwani Slaa anahitaji kuaminika ili kutueleza wizi wa serikali hii? Kila mtu najionea!!!
Back
Top Bottom