Search results

  1. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    " Amini uwezo wako " Shukrani mkuu, hilo nitalizingatia
  2. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Shukrani mpendwa.
  3. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Kichwa nimeandika: NATAFUTA KAZI, MSHAHARA UWE LAKI MOJA. Ufafanuzi. Natafuta kazi, ambayo mshahara wake uwe ni laki moja.
  4. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Shukrani sana mkuu
  5. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Inatokea tu mkuu, ni vyema pia tukashukiru sana kwa kile tulichonacho
  6. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    shukrani mkuu kwa ushauri, naufanyia kazi sasa hivi.
  7. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Shukrani sana, nitafanya hivyo.
  8. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Shukrani mkuu wa dua yako.
  9. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Dar es salaam, Ubungo.
  10. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Ngoja nijaribu, hatuwezi jua litakalotokea mbele
  11. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Kuanzia chini kwenda juu nadhani itakua vizuri zaidi.
  12. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
  13. LEO_TENA

    Soma mkasa unitesao akili yangu

    Habari wana JamiiForums! Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri. kupitia huu uzi nawe utapata funzo piaa. NAANZA; Kipindi cha miezi miwili iliyopita nilipata nafasi ya...
  14. LEO_TENA

    Natafuta chumba cha kupanga Dar es salaam (Ubungo)

    Habari WajaJF Husika na kichwa cha habari pale juu Sifa ya chumba _______________ 1. Kiwe katika hali nzuri tu ya kuweza kuishi MTU 2.Kiwe na umeme 3.Kiwe na Maji 4. Kiwe nawapangaji wachache 5. Kiwe Dar es salaam maeneo ya Ubungo 6. Kiwe eneo linalopitika 7. Kisiwe mabondeni Ahsanteni
  15. LEO_TENA

    How did you feel the last time you saw your Ex?

    I feel so good, tulipeana hai.. stor mbili tano. Ni nilifrahi kumwona kwa kwel🤗🤗
  16. LEO_TENA

    Naomba msaada wa namna ya kujibu hili swali

    Habari wanaJF, Kama kichwa kinavyojieleza Swali: Barua isiyokua na nambari ya Kumbukumbu Namba ni sawa na ujumbe uliopotelewa njia. Jadili kauli hii kwa hoja madhubuti. Natanguliza shukrani[emoji120]
  17. LEO_TENA

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    How to move from poverty to success by Shigongo
  18. LEO_TENA

    Ni uongo gani Ex wako alishawahi kukudanganya?

    Ni mengi sana kwa kwel Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom