Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

LEO_TENA

Member
Jan 21, 2020
67
57
Habari Wana JamiiForums!

Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya.

Jinsia: Kiume
Miaka: 23
Mahali Dar es salaam.
Elimu: Chuo Kikuu.
Nilichosomea: Ualimu masomo ya Kiswahili na Literature.
Uzoefu: Nimefundisha shule mbili. Tanga na Pwani.

Ujuzi mwingine; Kuondesha mitandao ya kijamii, App nk, kuosha magari pamoja na kuuza duka.

Kama nilivyojieleza awali nipo tayari kufanya kazi yoyote ata ambayo ipo nje ya taaluma yangu. Iwe kuuza duka, na kazi zingine ambayo mtu yeyote anaweza kuzifanya nipo tayari.

Sifa zangu: Kijana mchapakazi, mwenye nidhamu, napenda kujifunza nk. Kazi yako nitaifanya kwa moyo wote na uaminifu wa hali ya juu.

Mawasiliano: jro08728@gmail.com

Ahsante.
 
Hii inanifanya niheshimu nachopata,huo mshahara ni kidogo mno Tena mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom