LEO_TENA
Member
- Jan 21, 2020
- 67
- 57
Habari WajaJF
Husika na kichwa cha habari pale juu
Sifa ya chumba
_______________
1. Kiwe katika hali nzuri tu ya kuweza kuishi MTU
2.Kiwe na umeme
3.Kiwe na Maji
4. Kiwe nawapangaji wachache
5. Kiwe Dar es salaam maeneo ya Ubungo
6. Kiwe eneo linalopitika
7. Kisiwe mabondeni
Ahsanteni
Husika na kichwa cha habari pale juu
Sifa ya chumba
_______________
1. Kiwe katika hali nzuri tu ya kuweza kuishi MTU
2.Kiwe na umeme
3.Kiwe na Maji
4. Kiwe nawapangaji wachache
5. Kiwe Dar es salaam maeneo ya Ubungo
6. Kiwe eneo linalopitika
7. Kisiwe mabondeni
Ahsanteni