Soma mkasa unitesao akili yangu

LEO_TENA

Member
Jan 21, 2020
53
125
Habari wana JamiiForums!

Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu.

Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri. kupitia huu uzi nawe utapata funzo piaa.

NAANZA; Kipindi cha miezi miwili iliyopita nilipata nafasi ya kufanya kazi sehemu flani. Katika ile kazi nilikutana na vijana wenzangu kama saba hivi. Siku za mwanzo pale kazini kila mtu alikua bize na mambo yake. na ukiangalia tulikua ni vijana tuliotoka sehemu mbalimbali, hivyo mazoea hayakuwepo. kadri siku zilivyokua zinaenda ilitokea kuna mdada mmoja akawa karibu yangu sana. ukifika mda wa chai basi kama sipo karibu ataniulizia, au ananiwekea chai pamoja na kitafunio. mimi nikija nakunywa tu. nikiwa nimepumzika atakuja na kupiga stori nami. sana sana ktk stor alikua anazungumzia maisha yake, ikifika mda wa chakula basi atanitafuta tule wote (wenzetu walikua kila mtu sahani yake ila sisi tulitumia moja) basi ikifika mda wa kwenda nyumbani tunaongozana. hata weekend alikua anakuja tunapoka. etc aaahh mdogo mdogo kijana nikaanza kuzama kwa yule binti๐Ÿ˜…

Basi bhana wenzangu kuona nafanyiwa vyote hivyo, wakaanza kuniambia mtoto huyo amekuelewa. fanya mambo kijana usiwe mzito๐Ÿ˜ฏ. mwanzo nikawa napuuzia maana mtoto sikumwelewa kivile japo alikua ni pisi kinoma๐Ÿ˜‹

Kutokana na mambo niliyokua nafanyiwa na yule binti kiukweli mdogo mdogo nilianza kuzama๐Ÿ˜ si unajua mkate ukikutana na chai. bas bhana. msukumo wa wenzangu pia mmhh nikasema simwachi. ila ngoja niende nae pole pole. wiki la tatu kama sikosei kijana nikaanza kurusha ndoano (kumtongoza). apo mida ya usiku hyo saa nne hivi. baada ya kuchat wee tukajikuta mada zinaisha.. kijana nikaanza swaga sasaโ˜บ๏ธ

Siku ya kwanza mtoto akakaza, mim nikasema poa tu wala nisiwe na haraka, siku ya pili tena mtoto akakaza. nikajua tu mtoto hataki nimwone yeye ni cheap๐Ÿ˜•. mara ya tatu mtoto akakaza tena. kwa vile nami sikua na uhitaji saanaa nikapotezea kwa mda. Kiukwel nilichokua najibiwa ni kwamba tayari anamtu wake.

Baada ya yote haya kutokea nikasema siji kumtongoza tena๐Ÿ˜• basi mtoto wa kike akaanza kunikaushia, tulikua tunakaa meza moja lakini akahama tena akaenda ofisi nyingine kabisa. basi mim nikajikaza uzuri nilikua nimeshaanza kuzoeana na wale mabinti wengine. mda mwingi nilikua napiga nao stori na mmoja wapo akasogea karibu na meza yangu kbs. life likawa linaendelea. basi yule binti akawa kila akiniona nipo na wale mabinti wengine anaumia knm๐Ÿ˜ฉ

Kiukweli sikupenda kumwona ktk ile hali. lakini kwani mim kosa langu lilikua wapi pale๐Ÿค” maana yeye mwenyew nd alinikaushia. au kumtongoza mtu ni vibaya. nikamfata bhana tukayamaliza life likaendelea kama mwanzo.

Ikumbukweke nami nilisema siji mtongoza tena, basi bhana mtoto vile alivyokua ananifanyia mwanzo awamu hii ndio akawa kama kayazidisha zaidi. ilifika hatua ata nisipojibu text zake nanuniwaa. aaahhh.

Mambo ndio yalikua hivyo, siku moja jumapili usiku midaa ya saa tano nikiwa nachat nae akaniambia karibu nyumbani tulaleโ˜บ๏ธ nikajua jokes mara ikawe ni kweli basi bhana nikatoka home mpk kwao nikafunguliwa mlango uyo nikaingia. Kwa vile aliniambia niende kulala basi nikapanda kitandani nikapewa na shuka langu. huyo mie nikalala upande wangu nimejifunika zangu. si niliitwa kwa ajili ya kulala bhana๐Ÿ˜‚ mtoto nae akalala upande wake. ikapita kama dk 10 ivi. apo kama mwanaume nikajua tu mtoto anaitaji ๐Ÿ† nikasema wala ata nisiwe na papara. si nimeshajua anachokitaka๐Ÿค—

Mdogo mdogo mtoto akanisogelea na kuniita jina langu๐Ÿ˜‹ mimi nikaitika, akaniambia kumbe hujalala. nikajibu usingizi hauji. akaniambia naomba basi nikubembelezeโ˜บ๏ธ aahh nikasema sawa.. mtoto akanifunua shuka langu af akatumia lake. so tukawa tumejifunika shuka moja sasa. apo mwenzenu nasubiria kubembelezwa, si alishaniambia bhana๐Ÿ˜

Aaahh uvumilivu unakikomo bhana, af kumbuka nami ni mwanaume tena jogoo anawika kabsa๐Ÿ˜… nikamvuta binti wa watu, huyo anasogeaa tuu.. nikampatia french kiss๐Ÿ˜‹ nae akawa anarespond tu. nikasema kazi kwangu sasa. na vile sina papara nilimwanda kama dk 25 iv mtoto apo hoi.. kijana ile napanda juu sasa nianze kuendesha gari (nadhani mshaelewa gari nalosemea)๐Ÿ˜ฏ naanza kuweka tu hivi mtoto akanisukuma. akanambia hatuwezi kufanya hichi kitendo, why kisa yupo kwenye siku za hatari. mmhh ukiangalia pale sina ata ndom dahh vijana tutumie ndom kwa kweli๐Ÿ˜ฉ

Baada ya ile taarifa, hatuwezi kufanya. niliipokea vizuri tu. uzuri si nilikua sina papara. nikajibu sawa usijali. lakin uku naendelea kumchezea zaidi nae akazidiwa sasa. akaniita jina langu na kuniambia chomeka tu mkuki wako ๐Ÿ˜‚ sio mkuki mnaoujua nyinyi. sema alinipa sharti moja na kiukwel aliniomba sana sana nifanye hivyo, najuta ata why sikufanya kama alivyoniambia๐Ÿฅบ yaani aliniambia hivi sawa tufanye ila nakuomba sana umwagie nje, pls pls. nami nikasema usijali nitafanya hivyo.

Mzunguko wa kwanza kiukwel nilimwaga ndani๐Ÿฅบ, wa pili na tatu nilimwaga nje. lakina wa nne nilimwaga ndani๐Ÿ˜ฉ ko apo nmeshavunja ile ahadi na ukiangalia mwenzangu yupo siku za hatari. basi bhana ndi ikawa hivyo. asub na mapema mim huyo nikarud zangu home kulala. jumatatu wala kazini sikwenda.

Ikumbukwe hapo ni jumapili, nawarudisha nyuma kidogo, mara nyingi nilipokua napiga stori na huyu binti alikua anapenda sana kumzungumzia mpenzi wake. na kiukwel wanaishi mbali mbali. mmoja mkoa mmoja mmoja mwingine. alikua akinionesha picha zake. jamaa yupo vzr na anajiweza kuliko ata mimi. Pia stor zake mara nying alikua anazungumzia sana mambo ya uwepo wa commitment ktk relationship. lakin yeye mwenyewe nilishuhudia kwa macho yangu akifanya kinyume na aongeacho. kwa upande wangu kiukwel nilikua single even now. nadhani umeona mahusiano yanavyooenda๐Ÿฅบ

Tukiachana na jumapili, esabu jumatatu, jumanne, jumatano then alihamisi tukakutana tena. yeye ndio aliniita tena kwao. nami nilivyo nyumbu nikaenda tena nikala mzigo nikalala then asub nikaondika. ile alhamis aliniambia tena yupo kwenye siku zake za hatari. so nifanye vile vile kama mwanzo, yaani nimwage nje. mim nkajibu sawa. lakini kiukwel nilienda round nne na moja tu ndio nilimwaga nje. apo tayari alihamisi imeshapita sasa tupo ijumaa sasa..

Ijumaa usiku kilichonikuta daahh sio poa.. ghafla nilitumiwa ujumbe na yule dada na kuniambia jumapili naolewa, karibu kwenye harusi yangu ๐Ÿ˜ฉ na kiukwel wakati tunafanya yote hayo sikujua kama soon anaolewa na kiukwel kama ningejua sizani kama ningefanya hivyo. basi bhana kufika jumapili mtoto akaolewa. kiukwel sikwenda.

Jambo linaloniumiza kichwa, je wakati tunafanya yote hayo alikua hajui anaolewa๐Ÿ˜•, na ubaya siku zote nilizokutana nae zikikua ni siku zake za hatari.. apa ndio pananiumiza kichwa mpk nmeamua kuandika huu uzi. Navyojua siku za hatari mwanamke ni rahisi sana kupata ujauzito, so ameingia kwenye ndoa na ujauzito wa mtu mwingine au, je ni kweli alikua kwenye siku za hatari? kama ni kweli alikua siku za hatari natumai atakua na ujauzito, na kama hana.. inamaana sina nguvu za kiume au?? kiukweli najiuliza maswali mengi. ebu nanyi mnisaidie.

Kati ya vitu vilivyoniumiza ni kuona yeye mwenyewe ameamua kufanya mapenzi siku mbili kabla ya ndoa na akiwa siku za hatari. sasa sijui nae taarifa zake za ndoa zilimjia ghafla. kuna usaliti mkubwa sana apa. ktk uchunguzi wangu, aliyemwoa ndie anamlipia kodi ya nyumba pamoja na ada. kiukwel hii kitu inaniumiza kichwa sana. nafikiria sasa kama relation ndio hivi ata nisioe kabisa.

kama kijana naamini ktk nipitiayo kuna mengi sana nitakutana nayo, lakin yote nitayachukulia kama funzo ilimradi yale makosa nisije yarudia tena. kuna hasara kubwa sana kupitia hiki kisa. 1. niliweka afya yangu rehani, 2. what if akiwa na ujauzito wangu. kwa kina ukiangalia kama inakuja kuaribu future yangu, 3. nimemkosea Mungu wangu.

MWISHO; baada ya kuolewa aliondoka na kwenda kwa mmewe lakina bado alikua anachat nami mpk usiku saa nne. mimi kujiongeza nilianza chat nae anzia saa sita mpk saa nane ivi apo nd mpk kesho. lakn asub nikiamka nakuta sms zake nyingi katuma usiku. nikaona bhana isiwe kesi huyu mtu ameshaolewa acha nifunge kbs nawasiliano nae. lengo nisiaribu ndoa ya jamaa.

Swali niliumizalo kicho ni apo kwenye ujauzito tu.

Kiukweli sijaoa, ila nahisi mliopo kwenye ndoa mmhh
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
58,463
2,000
Kijana acha kuwa zuzu, una uhakika gani alikuwa siku za hatari? Yaani kwa kuambiwa tu na huyo binti ndio uamini?

Halafu, wewe si mwanzo ulimtongoza mchuchu ili upewe tunda, sasa mwishoni umepewa tunda kwa raha zako unaanza kujifanya hakimu wa mahakama ya mwanzo...eboh!!
 

msakuzi_huru

Member
May 27, 2017
39
125
Endelea kusubiria matokeo baada ya maamuzi yako mkuu. Utalipwa kwa shughuli uliyoitenda!

N.B: Wanawake wote niwakuishi nao kwa akili kubwa sana
 

Aiba

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,186
2,000
Muulize kama ana mimba au ngoja mwezi upite usiwe na haraka alafu mpotezee mke wa mtu najua wafahamu madhara yke
 

evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
3,260
2,000
"nami nilivyo nyumbu nikaenda tena nikala mzigo" inaonesha mpo chuo Na hapo ni field mmekutana, anyway cha kufanya achana Na mawasiliano nae,case ya ujauzito atabambikiwa mumewe, umesahahu takwim za mkemi mkuu kuwa 60% wnaume wamebambimbikiwa watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Page 94

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,470
2,000
Aisee!.

Sioni cha kukuogofya.
Bwana mdogo, kuhusu hofu yako ya kwanza kama ameingia kwenye ndoa na mimba yako, hatuwezi kukuhakikishia. Kwa sababu hatuna hakika kama kweli alikuwa kwenye siku za hatari. Lakini pia, mwanamke anaweza kuwa kwenye siku za hatari akamwagiwa shawa lita million na asipate mimba.

Kupata mimba ni ishu kubwa tu.

Kuhusu swala la hofu juu ya uwezo wako wa kutungisha mimba, majibu ni kama yale ya juu. Hakuna hakika.

Ishu ya usaliti isikukuvurugie imani yako ya kuoa. Tabia na mienendo twatofautiana. Haimaanishi uliyempata naye atakuwa vivyo hivyo.
 

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,890
2,000
Stori ndefu sana nimeshindwa kuimalizia ila wewe endelea kupeleka moto tuu, hakuna namna
ezgif-2-c03003776e9c.gif
 

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
3,558
2,000
Habari wana JamiiForums!

Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu.
Mkaushie tu yeye mwenyewe atajua analimaliza vipi hilo.

KITU KINGINE
Inaonekana hukuiva vizuri kwenye somo la uandishi, jaribu kujifunza matumizi ya kituo kikubwa mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom