Search results

  1. The best 007

    Hakuna matengenezo yoyote yaliyofanyika uwanja wa Mkapa

    Tuliambiwa kuna maboresho makubwa ya uwanja wa Benjamin William Mkapa (BWM) Stadium, lakini kiuhalisia sijaona jipya lolote mpaka jana nilipoenda kuangalia mechi ya wananchi (timu bora Afrika Mashariki na kati kwa sasa). Uwanja ni mchafu, vyoo vichafu, viti ni vilevile vya kizamani, kwa kifupi...
  2. The best 007

    KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

    Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma? Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa...
  3. The best 007

    Rasmi, Yanga ndio timu bora zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
  4. The best 007

    Ramani hii inathibitisha Ukubwa wa Yanga nchini Tanzania

    Kama huioni timu yako jua kwamba ni ndogo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. The best 007

    Binafsi napingana na takwimu za IFFHS

    Simba haikustahili kuwa kumi bora kwa club rankings za CAF, haina kombe lolote wala mafanikio yoyote msimu huu inakuwaje ya 10?
  6. The best 007

    Kwa Yanga hii tuliyoiona, kuna timu Uingereza hazitoboi

    Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni. Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika...
  7. The best 007

    Maelfu ya Wakenya waendelea kumiminika Dar kuangalia mechi ya Simba na Yanga

    WIMBI la mashabiki wa soka kutoka Mombasa nchini Kenya wameendelea kumiminika Bongo, Tanzania kushuhudia mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga ambayo imekua gumzo humu hapa Afrika mashariki na kati. Mechi hiyo ambayo itapepetwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili imewavutia...
  8. The best 007

    Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

    Habari zenu wanajukwaa, baada ya kugundua kuwa mtu huyu imeshindikana kabisa kusahaulika ndani ya mioyo ya Watanzania na wasio Watanzania nimeona nianzishe uzi ambao utagusa pande zote yani wale wanaodhani alikuwa Rais bora na wale wanaodhani hakuwa Rais bora. Ikumbukwe kwamba tangu amefariki...
  9. The best 007

    Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

    Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda) Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya) Laurent Kabila (Former president DRC) Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda) John Garang (Former president of Sudan) Donald Kaberuka (Former president of AfDB) Joseph Obgeb Jimmy (Namibian...
  10. The best 007

    Halotel mmeanza kuiba MB zetu

    Binafsi nilikuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa Tigo, baada ya kuona wanazingua nikahamia voda nao pia nikawahama baada ya kupandisha vifurushi vyao na kuanza kunyonya mb km wananyonya maziwa, baada ya voda nikahamia halotel ambayo niliona ni wakombozi halisi kwani vifurushi vyao ni affordable lkn...
  11. The best 007

    Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19

    Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac. Mie usiku huo maombi kwa kwenda...
  12. The best 007

    Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania

    Wana jukwaa habari zenu, kwanza kabisa ningependa kuwapa pole ndugu jamaa na marafiki walioguswa kwa namna moja ama nyingine katika janga hili lililoikumba dunia kwa sasa ugonjwa wa covid-19, pia ningependa kuwatakia afya njema na uponaji wa haraka wagonjwa wote waliokumbwa na kirusi hiki...
  13. The best 007

    Watanzania kwa pamoja tuungane kumsaidia Bi Hindu

    Kwa mujibu wa familia, nguli huyu wa filamu na michezo ya kuigiza hapa nchini yupo kitandani kwa takribani miezi 9 ss, lakini inaonekana hajapata tiba stahiki ya maradhi yanayomsibu bibi huyu, binafsi nadhani Tanzania bado inamhitaji sn bi hindu, bado tunahitaji sn busara zake, tusisubiri mpaka...
  14. The best 007

    Kwa wahitaji wa korosho

Back
Top Bottom