Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19

The best 007

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
37,883
82,573
Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.

Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.

Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.

Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.

Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.

*Nikawa napeleka tangawizi, muarobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*

Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.

Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.

So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.

So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.

Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii.
 
Unaposema Mungu amempa ufunuo huo ni uongo, kwa sisi ambao tulianza kupata maambukizi ya Corona tumeifanya sana na ndio tuliwahabarisha ndugu zetu wengine mara tu Corona ilipoingia, kwa hiyo hata yeye kiongozi ame copy na kupaste, msitake kutoa sifa saaana hadi mnaharibu ladha.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Kwa nyongeza, mvuke kazi yake ni kuzibua mafua yanavyokubana unakosa kupumua na hii stage wengi inawaondoa hasa wenye magonjwa ya Pumu, TB, n.k, pia mvuke husaidia kushusha homa kali na kuupa mwili nguvu pale unapoanza kunyong'onyea, virus vikisha shambulia mapafu hiyo ni habari nyingine sasa.

Kwa hiyo ukijihisi hali sio hali dumbukia kwenye mvuke utaleta majibu, Mzungu na ile ngozi yake anaogopa kubabuka, ndio maana anapinga, lol.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Unaposema Mungu amempa ufunuo huo ni uongo, kwa sisi ambao tulianza kupata maambukizi ya Corona tumeifanya sana na ndio tuliwahabarisha ndugu zetu wengine mara tu Corona ilipoingia, kwa hiyo hata yeye kiongozi ame copy na kupaste, msitake kutoa sifa saaana hadi mnaharibu ladha.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Mkuu, is this real?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Absolutely,
Sio kwa kuambiwa ilinitokea na imewasaidia wengi nilioshare nao.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Ahsante sana nakuamini sana ujue among very few jf members

Tafadhali naomba unipe mchanganyiko na maelezo sahihi ya namna ya kutumia kama hutojali maana nimepitia sehemu nyingi michanganyiko tofauti tofauti,
 
Unaposema Mungu amempa ufunuo huo ni uongo, kwa sisi ambao tulianza kupata maambukizi ya Corona tumeifanya sana na ndio tuliwahabarisha ndugu zetu wengine mara tu Corona ilipoingia, kwa hiyo hata yeye kiongozi ame copy na kupaste, msitake kutoa sifa saaana hadi mnaharibu ladha.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Thread alianza vizuri ila mwisho tu ndipo alipoharibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema Mungu amempa ufunuo huo ni uongo, kwa sisi ambao tulianza kupata maambukizi ya Corona tumeifanya sana na ndio tuliwahabarisha ndugu zetu wengine mara tu Corona ilipoingia, kwa hiyo hata yeye kiongozi ame copy na kupaste, msitake kutoa sifa saaana hadi mnaharibu ladha.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Ukichapwa na corona utakumbuka tu kujifukiza. I can bet on that.though hapa unaleta jeuri
 
Unaposema Mungu amempa ufunuo huo ni uongo, kwa sisi ambao tulianza kupata maambukizi ya Corona tumeifanya sana na ndio tuliwahabarisha ndugu zetu wengine mara tu Corona ilipoingia, kwa hiyo hata yeye kiongozi ame copy na kupaste, msitake kutoa sifa saaana hadi mnaharibu ladha.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Mkuu hata yeye inabidi tumpe sifa zake.

Raisi wa nchi kutamka kwamba watu watumie mitishamba wakati wengine asilimia kubwa duniani wanasisitiza tiba ya kisayansi...hili linahitaji roho ya chuma na kujitoa ufahamu.
Hongera mzee wa Chattle
 
Back
Top Bottom