Wakenya hii hapa ni orodha ya watu mashuhuri waliowahi kusoma UDSM. Wekeni na nyie yenu tuone kama kuna chuo hapo Kenya kinatoshana na UDSM

The best 007

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
37,805
82,268
Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)

Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)

Laurent Kabila (Former president DRC)

Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)

John Garang (Former president of Sudan)

Donald Kaberuka (Former president of AfDB)

Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)

Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.

Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
 
Wakunya wanendelee na maneno mengi, ila watajua hawajui
Yoweri Kaguta Museveni (Rais wa Uganda)

Willy Mutunga (Former Chief Justice of Kenya)

Laurent Kabila (Former president DRC)

Eriya Kategaya (Former vice president of Uganda)

John Garang (Former vice president of Sudan)

Donald Kaberuka (Former president of AfDB)

Joseph Obgeb Jimmy (Namibian Diplomat)

Hawa ni wachache tu natumai watawekwa wengine wengi ili mjue kwamba sisi ndiyo baba wa kila kitu hapa East and Central Africa.

Cc Tony254 komora096 Nicxie Teargass mwaswast Magix Enga Yosef Festo MK254 Kafrican
 
d2175c0ee70a40e0bc8f170236b8910e.jpg
 
Kwakweli huwezi kuwaona Wakenya kwenye huu uzi kwasababu huwa wanapenda kuongea ongea lakini linapokuja jambo la on ground wanapoteana
 
Wamekuja UDSM kusomea nn?
 
Kwakweli huwezi kuwaona Wakenya kwenye huu uzi kwasababu huwa wanapenda kuongea ongea lakini linapokuja jambo la on ground wanapoteana
Waje hapa waache ufala wa kusema oohh elimu yao kubwa sijui imekuwa ranked na nani sijui blah blah kibao, watuambie wamezalisha kina nani mana ubora wa industry tunaangalia products zake zinafanya nn sokoni.
 
Make Google your friend, nmekuwekea hapo jina lake so ni kazi yako ku search ili kujua wamesomea nn na kitu gn kiliwatoa huko kwao kuja kusoma Tanzania.
Eti kitu kilichowatoa
We umeleta mada inatakiwa uichakatue tuielewe vizuri..
Alafu ni miaka gani hyo
 
Tuambie education yenu imezalisha kina nani toka nje ya Kenya?
Kuzalisha tena
Kwan hao walisomea tz tokea la kwanza, wote hao hata chuo sidhani km walianzia UDSM, hao walikua tayari wana misingi bora tokea makwao..
Hapo UDSM walipitia kn vile wasafiri tu
 
Hehehehee unauliza miaka gn unadhani kuwa mashuhuri ni km kubebesha empty containers juu ya diesel sgr? It takes many years, pia baada ya hao tegemea wengine wengi miaka 30 ijayo.
UON ndio chuo pekee EA kw sasa kikichojaa wanafunzi kutoka pande zote za afrika..
 
Back
Top Bottom