Search results

  1. Advocate_Silayo

    Mitandao ya Kijamii na uwajibikaji wa Raia wa kidigitali

    Tangu kuanzishwa kwa mitandao ya kijamii imekuwa ni njia rahisi na nyepesi ya kuwafanya watu kukutana kwa uharaka hata kama wapo katika umbali mkubwa sana, leo hii mtu anaeishi Tanzania anaweza kuongea na kuonana kwa macho na mtu anaeishi katika nchi nyingine nyingi Duniani. Urahisi huu umeletwa...
  2. Advocate_Silayo

    The Influence of Social Media on Global Connectivity and Personal Accountability

    Since the inception of social media, it has become an easy and convenient way for people to connect quickly, even if they are far apart. Today, someone living in Tanzania can speak and see someone living in many other countries around the world. This convenience has been brought about by the use...
  3. Advocate_Silayo

    Fahamu kuhusu Ushuru wa Taka

    Tayari kipindi kinachohusiana na 𝗨𝘀𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗸𝗮 kutoka #SilayoDigitals, kimesharuka hewani. Karibu sana
  4. Advocate_Silayo

    SoC01 Ufafanuzi kuhusiana na HAKI ZA BINADAMU na manufaa yake katika ustawi waTaifa letu la Tanzania

    Haki za binadamu ni swala ambalo haliwezi kukwepwa na binadamu yeyote yule Duniani. Ni haki ambazo kimsingi zina manufaa makubwa katika ustawi wa jamii nzima. Katika nchi yetu ya Tanzania haki hizi za binadamu zimeorodheshwa katika Katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977...
  5. Advocate_Silayo

    #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Kama unaweza kufanyia kazi zako tokea nyumbani na haitakuathiri utendaji wako tafadhali sana bakia tu nyumbani, third wave #COVID19 its very LETHAL🙆🏾‍♂️, wimbi la 3 la korona ni HATARI mno linaua kweli kweli na haina cha sijui huyu mzee ndio yuko vulnerable,inaangusha yeyote yule.
  6. Advocate_Silayo

    Nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya

    Binafsi kuhusu #KatibaMpya, nataka ije leo kesho ila ambacho SITAKI ni kuanza upya kwa mchakato yaani tuanze tena kuchukua maoni ya wananchi na kutengeneza rasimu nyingine,nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya nzuri na wasiirejee ile Katiba...
  7. Advocate_Silayo

    Kamishna Jenerali wa Zimamoto: Changamoto ya maji Kariakoo ilisababisha kuchelewa kuzimwa kwa moto

    Jeshi la zimamoto lina upungufu wa magari ya kisasa ya kupambana na moto serikali inabidi iwekeze sana kwenye hili jeshi,siombei lakini imagine kituo cha mafuta au gesi kinalipuka leo hii tutaweza kukizima kwa ustadi kweli au ndio tutabakia kusema Mungu atusaidie na sio kupambana na majanga ya...
  8. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    Kwa akili yako unadhani kila mtu anatakiwa ajiajiri, halafu swala lingine mimi nina kazi tayari usione kila anaeandika humu ana hilo tatizo sometimes tunaandika matatizo yanayowakuta wengine,panua akili kidogo ukiwa unawaza usiishie mwisho wa pua tu hutaweza jua vingi kwa mtindo huu. Hiyo rate...
  9. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    Hiyo Hiyo ni janja janja tu wanafanya kwasababu kama wana uwezo wa kukuambia uombe kwa kupitia e mail iwaje leo washindwe kukujibu kwa same e mail kuwa hujafanikiwa kupata kazi?
  10. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    Na amechapia 😂😂🙌🏾
  11. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    Kuna watu huwa wakishika simu wanaandika tu kila linalomjia kichwani mwake aiseeh, mbaya sana hii hata kama ni uhuru wa maoni ila maoni bila kufikiri nako ni mbaya sana
  12. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    Inaonekana wewe ni mtu wa "i dont care" sana kwenye maisha yako,labda nikuambie jambo moja tu la msingi sio kila mtu anaweza kujiajiri na sio kila jambo ni lazima sheria iseme mambo mengine ni utashi tu wa kampuni au taasisi (mtu anaeongoza) upande wa Human Resources kuwezesha hayo mambo yaende...
  13. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    Kabisa aiseeh wasiwe wanawachosha watu
  14. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    To all Companies na NGO..... Mnapotoa tangazo la kazi na kisha watu wakafanya maombi katika hizo kampuni ama taasisi zenu bhasi mkumbuke kuwa mna wajibu wa kuwapa feedback kwamba maombi yako hayakufanikiwa, msipende kuwaacha watu wakiwa kwenye sintofahamu juu ya maombi yao.
  15. Advocate_Silayo

    Katiba Mpya ya Tanzania itasaidia namna Viongozi wanatakiwa kufuata Sheria

    Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
  16. Advocate_Silayo

    Holla

    Aah jamani kwani kuna neno?
  17. Advocate_Silayo

    Holla

    Nothing bad as of challenges on our daily life which keeps us away from the online issues but now am okay
  18. Advocate_Silayo

    Holla

    It has been a while not in here but am grateful am back with full energy to discuss issues around here
  19. Advocate_Silayo

    Thamani yako kabla ya kupata nafasi

    Kama huwezi kuisaidia jamii yako kwasasa wakati huna nyadhifa yoyote ile kisiasa unangojea uwe mwanasiasa (Mbunge) ndio uwasaidie wewe ni muongo wa kiwango cha lami na hupaswi kupata hata kura 1, na ndio watu wa aina hii wakishapata huo Ubunge ukiwauliza vipi wanasingizia mfumo
Back
Top Bottom