Search results

  1. NG'ADA

    avatar mpya inatakiwa haraka...zawadi nono kutolewa

    Nahitaji kubadilisha avatar yangu...nawakaribisha wote kunichagulia avatar mpya..nitumieni picha za aina mbalimbali.. Na zoezi hilo sio bure, kwa atakayenichagulia avatar ntakayoipenda bonge la zawadi kutoka kwangu... huu sio utani!! Au bado mnaipenda hii iliopo?
  2. NG'ADA

    walau wasanii wetu wakibongo wangeweza kupiga shoo kama tu ile ya ALPHA wa Rwanda...

    Huyu ni mshindi wa tusker project fame 2009...alikua sun ciro aliweza sana kuteka club, na ilikuwa ni active live show... wabongo tumeshindwa kabisa?
  3. NG'ADA

    usitupe taka hapa...

    hizi sehemu zinanishangaza.... sehemu imeandikwa ; usitupe taka hapa....sehemu hiyo unakuta imejaa taka kibao... si ruhusa kukojoa mahali hapa....harufu ya mkojo kwa kwenda mbele usikae hapa, by utawala....watu kibao wamekaa.... na mengineyo mmeona... haya matangazo yamewekwa juu ya...
  4. NG'ADA

    Kuna madhara kwa mwanamke kumeza manii/shahawa?

    je nikimmwagia sperm mdomoni mwenzi wangu atapata madhara gani?...maana yeye huwa anapenda na analazimisha nifanye hivyo... kuna tatizo anaweza pata kiafya?
  5. NG'ADA

    hivi mdada kwenda honeymoon ukiwa na MIMBA.. mmmmh?..

    swali hapo juu lahusika...
  6. NG'ADA

    Naomba muongozo hili ni tusi?

    niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!
  7. NG'ADA

    Mnapopigana "vibuti"...

    katika uchumba/mahusiano ya kimapenzi inatokea kufarakana hata kuachana...je vile vitu mlivyokua mkipeana enzi hizo (zawadi,..picha) yapasa mrudishiane?..
  8. NG'ADA

    mtoto anapoburuzwa kwenye kikapu...

    hizi mbeleko za cku hizi...duh...utakuta dogo kawekwa kwenye kikapu..mama/baba yuko mbele anaburuza kama vile unavoburuza begi ukiwa airport au kwingineko safarini... swali langu... kuna kitu cha ziada anakipata mtoto anaebebwa na mikono ya wazazi wake na huyu wa kukokotwa kama begi? hebu ongea...
  9. NG'ADA

    hawa madogo vip?...wanaomba nauli daily!!

    ...kuna wimbi la vijana wa shule secondary na msingi...wanaomba sana barabarani...mara naomba mia,..nimepoteza nauli...mara naomba hela nikanunue hiki...hivi wakikutana na watu wakawapa with conditions itakuwaje?alaf wengi ni wakiume...
  10. NG'ADA

    Mwanaume mwenzio anapokutumia msg akisema I LOVE YOU,..unamuelewaje?

    kichwa cha habari hapo juu cha husika..
  11. NG'ADA

    "Jamani wanaJF, kuna rafiki yangu mmoja"...ni fasheni ama?

    inaniboa watu wanatumia watu wengine kuelezea matatizo yao...ooh rafiki yangu ni "gasho" ...ooh rafiki yangu ana uume uliopinda...aaaargghh!!funguka tu kama ni ww...
  12. NG'ADA

    maneno katika t-shirt tunazovaa....

    ....um a pregnant woman!!...kavaa mwana kaka mmoja...na jinsi yake fresh yuko zake mitaa ya mwenge!! tusaidiane katika hili, sio kila mtumba unaokuja huku ni wa kununua tu,..nguo zingine zilikuwa zinatumika hospital za vichaa, na za kawaida...nguo zingine zilikuwa uniform katika masoko makubwa...
  13. NG'ADA

    biashara ya kucha na visigino MWENGE....

    ni kwamba maisha yamekua busy saaana, watu wanashindwa kunawa nyumbani...ni kwamba uchafu wa cku hizi ni mgumu sana hauwezi kuondoka kwa njia ya kunawa kawaida home!!?cjui!!! ...lakini hilo dogo...njia ya kusafisha hizo nyayo na kucha ndo balaaa!!!kwanza ni mkaka anaefanya hiyo kazi...na sharti...
  14. NG'ADA

    good at sensitive stuff..

    Three guys were working on a high rise building project: Steve, Bill and Charlie. Steve falls off and is killed instantly. As the ambulance takes the body away, Charlie says, "Someone should go and tell his wife." Bill says, "OK, I`m pretty good at that sensitive stuff, I`ll do it." 2...
  15. NG'ADA

    Unapenda kujua?

    hivi huwa unapenda kufahamu kuwa watu wengine wanakuongelea vip???....na unatumia njia gani kufahamu?
  16. NG'ADA

    ... .chakula cha usiku kwenye GIZA..

    wangu nikiwa nae kwenye mpango mzima wa chakula cha usiku kwa watu wazima, hataki kabisa kuona taa inawaka,..na mm napenda iwake taa kiasi kwamba ninaona kila kitu kwa macho yangu...ishu hii ntaisolve vip?na yuko serious kabisa nikiwasha taa cpati kitu na anasema tuache na tulale...
  17. NG'ADA

    Aaaaaargghhhhh!! uchafu mtupu na hizi toothpick zenu...

    mwana JF mwenzangu mm hili linanipa kichefuchefu, utakuta mtu yuko kwenye daladala (au sehemu yoyote ya hadhara) anaachama mdomo, anaanza kuchokoa meno, kutoa nyama au uchafu kwenye meno...aaaaarghhhh!!nimepanda gari toka moroko, mpaka avocado mikocheni, abiria mwenzangu cjui kala nyama ya PUNDA...
  18. NG'ADA

    beijings hebu nipe mtazamo wako katika hili...

    un BF wako, kutokana na majukumu inatokea mnakua na "long distant relationship"...mnapendana sana na ww binafsi hutaki kumpoteza...unapatwa na wazo la kutokumuamini labda kutokana na yeye kuwa kimya kidogo tu,..ila mkiwasiliana anasema "everything is fine and stuff, that he was jus tired" na...
  19. NG'ADA

    environmental engineering....

    nisaidieni wadau nipate walau kibarua cha muda kuhusiana na mambo ya environment...nime graduate this year!!
  20. NG'ADA

    imagine ndio ww!!

    unatabasamu mbele ya mtu alafu anakuambia hivi.."i like your smile because my favorite color isYELLOW"....ultimate insult!!
Back
Top Bottom