NG'ADA
Senior Member
- Sep 2, 2011
- 152
- 15
hizi mbeleko za cku hizi...duh...utakuta dogo kawekwa kwenye kikapu..mama/baba yuko mbele anaburuza kama vile unavoburuza begi ukiwa airport au kwingineko safarini...
swali langu... kuna kitu cha ziada anakipata mtoto anaebebwa na mikono ya wazazi wake na huyu wa kukokotwa kama begi?
hebu ongea lolote juu ya hili mdau..
swali langu... kuna kitu cha ziada anakipata mtoto anaebebwa na mikono ya wazazi wake na huyu wa kukokotwa kama begi?
hebu ongea lolote juu ya hili mdau..