hawa madogo vip?...wanaomba nauli daily!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hawa madogo vip?...wanaomba nauli daily!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NG'ADA, Oct 6, 2011.

 1. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...kuna wimbi la vijana wa shule secondary na msingi...wanaomba sana barabarani...mara naomba mia,..nimepoteza nauli...mara naomba hela nikanunue hiki...hivi wakikutana na watu wakawapa with conditions itakuwaje?alaf wengi ni wakiume...
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  mpe usepe...
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama unayo na amekupa sababu yamsingi msaidie.....
   
 4. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utakutana na mmoja atakuambia amepoteza nauli, kesho au baada ya siku mbili anakutana na ww amesahau kua alishakuomba, anaomba tena...je anapoteza kila cku?na kwa nn yy tuu?
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mhhhh, mbona ni kawaida sana tu mkuu kwa mjini. nanii mmemuona wapi wakuu namtafuta humu
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ndo watoto wetu hao,yawezekana na wa kwako ni miongoni
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wasaidie tu, madogo wanakula. Wengine wanapewa nauli kamili tu hakuna hata hela ya aiskrimu.
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,077
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  mimi nawapenda sana waislam kwa hili kwa kweli wanawapa sana hawa wanafunzi wanapowaomba na bila shaka with no any conditions, hata kwenye daladala wenzetu waislam ni wepesi sana kuwalipia wanafunzi. sijui kwanini sisi wakristo tunakuwa wagumu hivi, na bila shaka mleta mada ni mkristo mwenzangu, jamani tutoe kwa kuwa tutakufa tutaviacha.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu ni sikivu itawatatulia kero zao
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  acha uchoyo wewe mimi huwa nikipanda daladala na watoto wa shule huwa nawalipia nauli wala sisubiri waniombe mbona unauza jina baa, 150 kitu gani wewe
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndio mana nikasema kama unayo mpe kaka kwani kumpa mtu 150 kuna tatizo gani na ni mtoto wa shule? toa tuu hujui nani atakusaidia maishani,sadaka zenyewe ndio hizo sio utoe kwenye watu wengi wakuone ukiwapa hao watoto ndio wanahitaji sana...
   
Loading...