NG'ADA Senior Member Sep 2, 2011 152 15 Sep 20, 2011 #1 unatabasamu mbele ya mtu alafu anakuambia hivi.."i like your smile because my favorite color isYELLOW"....ultimate insult!!
unatabasamu mbele ya mtu alafu anakuambia hivi.."i like your smile because my favorite color isYELLOW"....ultimate insult!!
M Mocrana JF-Expert Member Sep 10, 2011 536 122 Sep 20, 2011 #2 so inamana dental formular yako ni njano kiasi hicho, duu katafute mdaa ufanye mswaki
O omary mtaita Member Sep 8, 2011 7 1 Sep 21, 2011 #4 dah siku hiyohiyo naenda hospitali nang'oa meno....!
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,383 Sep 21, 2011 #6 Naenda kufanya pedicure ya meno...
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,855 24,916 Sep 21, 2011 #7 bora akuambie yellow kuliko green when u have had sukuma wiki for lunch,lol