"Jamani wanaJF, kuna rafiki yangu mmoja"...ni fasheni ama?

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
inaniboa watu wanatumia watu wengine kuelezea matatizo yao...ooh rafiki yangu ni "gasho" ...ooh rafiki yangu ana uume uliopinda...aaaargghh!!funguka tu kama ni ww...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom