walau wasanii wetu wakibongo wangeweza kupiga shoo kama tu ile ya ALPHA wa Rwanda... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

walau wasanii wetu wakibongo wangeweza kupiga shoo kama tu ile ya ALPHA wa Rwanda...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NG'ADA, Oct 14, 2011.

 1. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni mshindi wa tusker project fame 2009...alikua sun ciro aliweza sana kuteka club, na ilikuwa ni active live show...
  wabongo tumeshindwa kabisa?
   
 2. N

  Ndole JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani utafikiri wote tulikuwepo. Weka chochote cha kuthibitisha show yenyewe
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Sisi tunaweza kushika sehemu za siri na kubana pua wakati wa kuimba.....
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  ndo nini sasa hi habari imekaa kama huo mti kwenye avatar yako ........
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  we ulikuwepo??? na mbona sikukuona???
   
Loading...