Unapenda kujua?

Unapenda kujua?

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
152
Reaction score
15
hivi huwa unapenda kufahamu kuwa watu wengine wanakuongelea vip???....na unatumia njia gani kufahamu?
 
Ukisikiliza ya watu utakonda, afadhari usijue kabisa maana maneno ni sumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom