Search results

  1. Behind the camera

    Inachukua muda gani kujifunza na kufahamu vizuri mchezo wa karate?

    Hapa ni kwa wale wajuzi wa mambo ya MARTRIAL ARTS. Nimedhamiria kuingia mazoezini kwa mwanangu mmoja hivi kwa ajili ya kupata mbili tatu kuhusiana na mchezo huu wa ngumi. Swali langu ni je, naweza kuchukua muda Gani kuwa fit katika hili? Sina maana kwamba sijui niwe na mkanda mweusi, sijui wa...
  2. Behind the camera

    Majibu haya huashiria mwanamke uliyemtongoza amekubali

    Kuna muda bana wanawake wapo mguu ndani mguu nje. Unaweza kumtongoza akakubali kiaina. Anasubiri tu ujiongeze. Ewe kijana / mwanaume / Baharia pindi uonapo majibu haya ujue ni [emoji106] 1. Unanitaka sawa. Lakini mke /mwanamke wako je? 2. Nakupenda lakini ngoja kwanza nifkirie 3. Pliz...
  3. Behind the camera

    Natafuta mke (mke wa pili) aliyepo serious

    Naelekea kufanikiwa katika juhudi zangu za kuacha uzinzi na kufanikiwa kubaki njia kuu (alhamdu lillaah) Lakini kwakuwa dini yangu imeniruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, nikaona si vibaya kuongeza mke ili jitihada zangu ziendelee kuota mizizi. Sina vigezo vingi kwa nimtakaye , ila mimi kwa ufupi...
  4. Behind the camera

    App ya twitter inakataa kufunguka kwenye simu yangu

    Sijajua tatizo ni simu yangu ama ni app yenyewe. Kuna ambaye ameshakutana na tatizo hili? Yaani uki log in ina load kwa muda mrefu sana mwisho wa siku inagoma. Msaada tafadhali.
  5. Behind the camera

    Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

    Kwa ufupi Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook. Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia. Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo...
  6. Behind the camera

    Juhudi zangu za kuacha uzinifu zilipofika hadi sasa

    Ni ngumu na inahitaji imani ya kweli (Sijafanikiwa bado) Kwa mujibu wa imani yangu, kufanya tendo la ndoa na mwanamke ambaye hujafunga naye ndoa huitwa ZINAA, UZINZI, UZINIFU na ni makosa makubwa. Lakini kutokana na kuikosa imani basi nilijikuta nimezama sana katika mambo hayo (ZINAA) CHANZO...
  7. Behind the camera

    Mwana kulitafuta mwana kulipata

    Naandika huu uzi nikiwa sina maelewano na mama watoto wangu. Hii ni baada ya jana usiku nikiwa nimelala , alichukua simu yangu na kuanza kupekua kila sehemu. Kawaida mke wangu hua anapenda saaana kukagua simu yangu sehemu tofauti tofauti. Ikiwemo SMS, MISSED CALLS, WHATSAPP n.k. Hua namuonyaga...
  8. Behind the camera

    Mke wangu hasapoti juhudi zangu. Ananikatisha tamaa sana

    Sikuwa najua, Kumbe kuwa na mwenza ambaye hasapoti juhudi zako za maendeleo INABOA SANA WAUNGWANA. Kitu ambacho sikua najua kumbe mke wako pia anaweza kukuonea wivu na kukudhuri kwa husda /kijicho /roho mbaya. Nimejiskia vibaya leo baada ya kumueleza kwa bashasha mke wangu WAZO langu zuuri...
  9. Behind the camera

    Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

    Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa. Siku hiyo nikatoka zangu mwenyewe mdogo mdogo nikaelekea Maeneo ya Mafiati kwenye...
  10. Behind the camera

    Sifa kubwa kabisa ya mpenzi aliyekuchoka

    Chunguza kwa makini. " Ukifanya kosa la buku, unapewa adhabu ya buku tano au buku teni" Ujue hapo bwana/ Bibi umechokwa na anza kujiandaa kisaikolojia. Over. Uzi tayari
  11. Behind the camera

    Nani aliwahi kuisikia sauti ya huyu jamaa?

    Mmeshindaje jama? Aisee mimi binafsi bwana huwa nafurahishwa sana sana na ile safu ya ulinzi ya Muheshimiwa Rais wangu wa Awamu ya 5. Kwanza napendezwa sana na yeye mwenyewe hasa pale ambapo anakuwa katika majukumu yake ya kikazi kututumikia sisi ambao tulimchagua Lakini pili, huwa napendezwa...
  12. Behind the camera

    Mwanaume Vyakula gani unaweza kupika?

    Ukiachana na wale wenzetu ambao wamesomea elimu ya kupika Vyakula mbali mbali, kuna sisi wapenda kula lakini kupika mtihani. Leo nimejiskia kupika firigisi na ugali. Sema hapa kwenye firigisi najiona kabisa nimechemka[emoji2] Aisee mpaka nimemkumbuka mama watoto aliyekwenda kujifungua huko...
  13. Behind the camera

    Mke wangu akirithi tabia ya mama yake, tutashindwana

    Nikiwa ni mwanandoa miaka minne sasa namshukuru Mungu kwa hili. Ila katika tasnia hii ziko tabia ambazo zinavumilika na nyingine ngumu kuvumilika. (Hutofautiana mtu na mtu) Ziko tabia za kurithi, kuiga na za kwako mwenyewe. Upande wa ndoa ya wakwe zangu, Ni mtihani mkubwa sana kwani yule...
  14. Behind the camera

    Mwanaume kamili acha mara moja mambo haya

    Habari. Bila shaka mmeamka vyema. Nanena na wanaume wenzangu pamoja na vijana wa KIUME. Kuna ka tabia ka kike kike kanaendelea huko kunako simu na mitandao ya kijamii. Ka tabia haka ni kutumia baadhi ya matamshi ambayo yanapunguza thamani ya uwanaume kwakua na viashiria vingi vya kike. MFANO...
  15. Behind the camera

    Nipeni mbinu za uandishi bora wenye kuvutia

    Habari zenu ndugu na jamaa katika mtandao pendwa wa jamiiforums.com Bila Shaka muwema kabisa. Hongereni kwa kazi na ibada kwa wale ambao walikwenda leo, na ambao hawajafanikiwa Basi MUNGU AWAKUMBUSHE. BAADA YA KUWASALIMU. Nimekuja mbele yenu leo kuomba msaada juu ya uandishi wa makala na...
  16. Behind the camera

    Nawezaje kuwa Usalama wa Taifa?

    Narudia tena kusema ‘MFICHA MARADHI, KIFO HUMUUMBUA’ Habari za muda huu ndugu zangu, waungwana wenzangu. BIla shaka afya zenu ni njema na mnaendelea vema kabisa na majukumu ya kulijenga taifa letu la Tanzania. HONGERENI SANA Waswahili walisema “Mficha maradhi, mauti humuumbua” Kauli hii ina...
  17. Behind the camera

    Kauli hii ya mke wangu imenishtua kidogo

    Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu "Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha...
  18. Behind the camera

    Nimeamua kuachana na wasichana wa chini ya miaka 25

    Nahamisha kambi kwa wazee wenzangu. Hii ni kutokana na ka usumbufu ninakokapata kwa hawa watoto (kwangu) Heri nipambane na wazee wenzangu kwenye moja na mbili hukoo.
  19. Behind the camera

    Hivi Komando ni mtu wa Sifa gani na uwezo wake upoje?

    Komando, comando, comandoooo.. Najiulizaga tu... - Ni mtu wa aina gani? - Kazi yao nnn? - Uwezo wake upoje? - Umeshawah kumuona live? - Je, wanatofautiana baina ya mmoja na mwingine? Nasikiaga eti tule jamaa MWEUSI TII anayevaa suti , anayesimama pembeni ya "MKULU" ETI ni komando. Sijui kweli?
  20. Behind the camera

    Kumbe ukiwa na stress "Jongoo hapandi mtungi"?

    Nimetia kampuni hasara ya zaidi ya milioni tatu na natakiwa kuzilipa haraka iwezekanavyo.. Ukilinganisha na kipato changu nahisi labda baada ya miaka miwili ndo ntamaliza. Nimerudi nyumbani nimepewa game nimeshindwa shindweeee kabisa.. daaaah Maombi yenu tu kwakweli, laa sivyo jela, fedheha na...
Back
Top Bottom