Kauli hii ya mke wangu imenishtua kidogo

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu

"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"

Kauli mpaka leo bado naitafakari sana
 
Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu.

Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine.

Nikamuuuliza mwenzangu

"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?

Akasema "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"

Kauli mpaka leo bado naitafakari.

Sana
 
Ukimruhusu afikie uchumi wa juu zaidi yako umekwisha, ukitafuta pesa ukawa nazo nyingi na usiwe mkora kwake umekwisha vile vile..kuanzia hapo ishi nae kwa akili tena mchane live ile kauli yake kua imekustua na vaa uso wa mbuzi mpaka ajute

Mwanamke akiongea kauli yeyote ile mbele yako KAMWE usimchane live wala kupanic

ukitaka umjue mwanamke walau kwa uchache usimjudge kwa lolote lile kuwa kam humsikii hivi ikiwezekana msupoti otherwise atakufekia maisha mpk ushangae na kamwe hutajua ujinga uliomjaa kichwani kwake km una mjudge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom