Kumbe ukiwa na stress "Jongoo hapandi mtungi"?

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
735
Nimetia kampuni hasara ya zaidi ya milioni tatu na natakiwa kuzilipa haraka iwezekanavyo.. Ukilinganisha na kipato changu nahisi labda baada ya miaka miwili ndo ntamaliza.

Nimerudi nyumbani nimepewa game nimeshindwa shindweeee kabisa.. daaaah

Maombi yenu tu kwakweli, laa sivyo jela, fedheha na kuchapiwa kutanihusu.

Pole sana mkuu! Ni kweli psychological stress za aina yoyote huweza kumfanya mwanaume asiwe 'kidume' kitandani.. Fanya tu kila liwezekanalo uweze kushinda jambo hili kwanza, baada ya hapo ukirudi wife atanyoosha mikono juu.
 
Nimetia kampuni hasara ya zaidi ya milioni tatu na natakiwa kuzilipa haraka iwezekanavyo.. Ukilinganisha na kipato changu nahisi labda baada ya miaka miwili ndo ntamaliza.

Nimerudi nyumbani nimepewa game nimeshindwa shindweeee kabisa.. daaaah

Maombi yenu tu kwakweli, laa sivyo jela, fedheha na kuchapiwa kutanihusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
chukulia poa jogoo litawika, hicho ndicho kitulizo chenyewe
 
tena anaweza kuwa kifaranga akalala chini ya manyoya ya mama yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom