Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
 
Naomba nikiri hapa kuwa mimi ni domo zege na mwanamke wangu wa kwanza,wa pili,wa tatu na wa nne ni wake za watu ambao niliwapata kupitia facebook.Uzuri wa facebook ni kwamba unamtongoza mtu bila kuonana nae uso kwa uso kwa hiyo hakuna mambo ya kuona aibu na mnakubaliana kabisa hadi lodge ya kwenda kula tunda.

Na mkifika lodge huwa hakuna mambo mengi,ni kuvuana tu kwa sababu tayari mlishalegezana kwenye mtandao huko.This is my confession
 
And yo proud?
 
Hii mbona easy kama Pop Corn.

NB: Demu wangu wa kwanza nilimpata huko na akaja kunifanya kitu hamna. Ilikuwa fundisho kwangu na kwa kizazi changu. Na account niliifuta 😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom