Nani aliwahi kuisikia sauti ya huyu jamaa?

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Mmeshindaje jama?

Aisee mimi binafsi bwana huwa nafurahishwa sana sana na ile safu ya ulinzi ya Muheshimiwa Rais wangu wa Awamu ya 5.

Kwanza napendezwa sana na yeye mwenyewe hasa pale ambapo anakuwa katika majukumu yake ya kikazi kututumikia sisi ambao tulimchagua

Lakini pili, huwa napendezwa sana na ile safu ya ulinzi wake wa kila siku. Kuanzia wale jamaa wanao vaa sare za jeshi flan hivi wakiwa na silaha fupifupi mikononi mwao.

Lakini pia huwa napendezwa sana na umakini wa wale jamaa wanaovaaga suti jinsi wanavyokuwa active katika kuhakikisha Mambo yanakuwa Kama yalivopangwa.

Sijawasahau vyombo vingine vya ulinz na usalama Kama vile police jamii, FFU n.k.

Lakini lengo hasa la uzi ni yule mtu aliyevaa suti ambaye husimama pembeni karibu na muheshimiwa.

Hapa katika kada hii wako Kama jamaa watatu hivi, lakini Mara nyingi anakuaga yule bonge MWEUSI tiiiii, na yule mwingine (alhaji)

Sasa huyu alhaji bwana Mara kadhaa anatolewa mbele na muheshimiwa azungumze na raia. Huwa nafurah Sana walau kusikia sauti za Hawa viumbe ambao nami natamani kuwa Kama wao.

Ila yule brother mweusi bana sijawahi hata kusikia Rais akimtaja. Hivi mnaweza kunambia ni kwanini?

Natamani naye kusikia walau tu sauti yake siku moja.

Namkubali Sana na shuguli yake, huenda anafanya kazi ya ndoto yake.

Nani aliwahi japo kusikia sauti ya huyu jamaa?
 
Kwa ambao hawamfahamu
Mwenyewe napenda sana hii kazi...
Muhusika huyu hapa
20200801_223748.jpeg
 
Na mie namkubali huyo jamaa mweusi,kuna kipindi niliwahi mweka huyo jamaa kama profile picha yangu hapa jf,dah kidogo nipigwe ban na jf,
kwanza mods waliinyoofoa ile picha na ma ma meseji ya warning kama yote yani dah!
Ohooooo kumbe? Kiukweli yule jamaa Ni roll model wa wengi sana
 
Huyo mdau alishafunguliwa uzi humu siku nyingi, wajuvi walihitimisha kuwa ndie in-charge wa hicho kikosi maalum. Huyo hata mh achekeshe vp, huwezi muona amekenua meno wala tabasamu. Anaijua kazi yake.
 
Huyo mdau alishafunguliwa uzi humu siku nyingi, wajuvi walihitimisha kuwa ndie in-charge wa hicho kikosi maalum. Huyo hata mh achekeshe vp, huwezi muona amekenua meno wala tabasamu. Anaijua kazi yake.
Nisaidie link ya huo Uzi mkuu. Kama utaweza,,,, nipite nao Kama mwewe
 
Back
Top Bottom