Natafuta mke (mke wa pili) aliyepo serious

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Naelekea kufanikiwa katika juhudi zangu za kuacha uzinzi na kufanikiwa kubaki njia kuu (alhamdu lillaah)

Lakini kwakuwa dini yangu imeniruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, nikaona si vibaya kuongeza mke ili jitihada zangu ziendelee kuota mizizi.

Sina vigezo vingi kwa nimtakaye , ila mimi kwa ufupi ni..

1. Nina mke na watoto wawili
2. Mrefu, mwembamba , jeusi
3. Sina pesa ila za kubadilishia mboga tu na za kuwatunza familia zangu.
4. Sina gari wala nyumba (nimepanga)
5. Elimu kidato cha nne
6. Nimesoma dini kiasi (islamic)
7. Situmii kilevi (pombe wala sigara)
8. Ninavo vigezo vya kuongeza mke (uwezo wa kumtunza, kumliwaza na kumfurahisha)

9. Nina kazi ya kuingiza kipato
10. Umri wangu ni miaka 31 tu.

Ila kwa uchache, kwa yule nimtakaye (mwanamke)

1. Asiwe mke wa mtu (wala mchumba)
2. Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja
3. Akiwa mweupe itapendeza zaidi (sio lazima)
4. Awe muislamu
5. Umri miaka 21 - 27

Kwa maelezo zaidi, MASWALI, USHAURI, MAONI karibuni PM.

Ni mimi wenu mtiifu Behind the camera
 
Kuna uzi wangu niliuandika siku za nyuma kidogo mkuu... Kajaribu kuupitia utakusaidia.
Copy link hapa ya uo uzi , Mana hata Mimi uzinzi unanivizia mpaka hapa ninamchepuko ambaye ana mtoto mmoja, na Mimi Nina mke na mtoto mmoja, nami Nataka niache uzinzi nibaki na mke mmoja tu , mana siku za nyuma kila msichana mwenye mtoto niliye mtongoza alinikubali ,nikajua kuwa hii ni roho ya uzinzi. Nataka niondokane na uzinzi huu nibaki njia kuu ,Mana me dini hainiruhusu kuwa na wake wengi , nami moyo wangu hautaki niwe na tabia hii ya uzinzi.
 
Link ni hii hapa mkuu

Juhudi zangu za kuacha uzinifu zilipofika hadi sasa
 
Link ni hii hapa mkuu

Juhudi zangu za kuacha uzinifu zilipofika hadi sasa
Ngoja niangalie Mbinu zilizotumika hapa ili nami niziapply hapa.
 
Miaka 31 bado sana una muda pambana hata ujenge usimame kiuchumi. Unataka kuongeza majukumu wakati unapanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom